Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe
Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya
Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
Dr Gwajima, huenda ndio Waziri pekee anayefikika na Mwananchi wa Chini kabisa , Hachagui, Habagui, utamkuta Mtaani, Mitandaoni yote Kwa yote kuhakikisha Wananchi wanamfikia !!.
Inawezekana kabisa, Kazi yake Inakua nyepesi kwakua anapata Ushirikiano Mkubwa na Wananchi.
Kinachonimaliza zaidi...
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
Viongozi wamekuwa wakitoa kauli zisizo na vitendo au uhalisia unaowakba wagonjwa. Nimeshuhudia hospitality ya KCMC hata mgonjwa wa ambulance anasubirishwa mapokezi mpaka kujaza taarifa na malipo ya awali
Hili jambo si utani, unaweza kuona mtu wako anafia mapokezi basi wakati mwingine Mungu...
Akijibu hoja za Wabunge walioeleza kuwa kuna Wajawazito wengi na Watoto chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakilipiishwa fedha katika Hospitali za Serikali kinyume na maelekezo ya Serikali, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuna wakati busara inatumika licha ya uwepo wa Sheria...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel akizungumzia kuhusu ushiriki wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu katika siasa ya sasa pamoja na kudai kuwa hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kwa wanachi wa Zanzibar wanaotibiwa MOI.
Mhe. Mazrui ameyasema hayo leo Jumanne Mei 06, 2025...
Februari 11, 2025 katika ibada ya maziko ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, viongozi wakuu wa Chadema Taifa walimshukuru Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel, kwa juhudi zake za kusaidia katika kipindi cha matibu ya Derick Magoma.
Katika ibaada hiyo Mwenyekiti wa...
Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini...
Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu?
Miaka...
1. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa Jambo linalohusu wananchi NI Jambo muhimu katika utawala Bora. USAID kajitoa kufadhili Miradi ya UKIMWI/TB na malaria. Watu wetu wataishije? Nini mpango wa Serikali?
2. Ni wakati sasa wa kujitegemea katika kuhudumia wananchi wa Tanzania kuliko kutegemea kila...
Waziri wa Afya nadhani umeona kauli ya RC. Naamini huo siyo msimamo wa CCm na serikali yake. Wewe kama Waziri mwenye dhamana unapaswa aidha kukemea au kuweka taarifa sawa la sivyo haya maelekezo ya RC yanakwenda kuwa msimamo wa watumishi wa afya kuanzia mjini hadi kijijini.
Kumbuka RC amesema...
Serikali imeanza mchakato wa ujenzi wa hospitali maalum ya magonjwa ya mlipuko na kituo kikuu cha uchunguzi mkoa wa Kagera kutokana na mkoa huo kupakana na nchi ambazo zimekuwa na historia ya kushambuliwa mara kwa mara na magonjwa hayo.
Akizungumza Mkoani Kagera wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
Katika jamii zetu, huduma za afya ni msingi wa maisha bora. Hata hivyo, tatizo la maji safi na salama linazidi kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo mengi, ikiwemo kijiji cha Karansi, Kandashe, Lekrumuni, na Ndinyika. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, anapaswa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Mhe. Waziri wa Afya,
Katibu Mkuu wa Afya,
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,
Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
Dodoma Jumamosi 15 Juni 2024
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanyia mazungumzo na KIDO ambaye ni balozi wa kampeni ya Holela-Holela itakukosti. Kampeni ya Holela-Holela itakukosti inasisitiza mbinu kamilifu ya " Afya Moja" kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki na...
Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi.
Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.