waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tumpongeze Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatupa matumaini

    Kwa ushujaa wa hali ya juu Mh.Kassim Majaliwa ameturudisha katika Imani yetu juu ya serikali yetu.Imani ambayo ilikuwa ishaanza kupotea baada ya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu kuanza kubadilika kifikra na matamshi kipindi kifupi tu baada ya kuondoka mpendwa wetu. Wengi wetu tulianza kuamini...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, kuwa Makini sana na Waziri Mwambe

    WAZIRI MKUU MAJALIWA, KUWA MAKINI ZAIDI NA WAZIRI MWAMBE. AMEJAA KIBURI, CHUKI, NA MPENDA RUSHWA Katika mabadiliko madogo aliyoyafanya Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alimtoa Mwambe kwenye wizara ya Viwanda na Biashara na kumbadilisha na Prof. Kitila Mkumbo, ambapo Mwambe akahamishiwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Maombolezo yamekwisha leo, kuanzia kesho wananchi wote nendeni mkachape kazi

    Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi. Chanzo: ITV habari Ukinizingua Nakuzingua!
  4. JamiiForums Tanzania Hakika nimeelewa kwa Nini Maraisi waliotangulia waliiweka TAMISEM katika ofisi ya Waziri Mkuu

    Hakika nimekuwa najiuliza maranyingi kuhusu Nani Waziri Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nafuatilia shughuli mahususi wanazozifanya mawaziri wakuu katika pande zote mbili zilizoungana na kubaini kuwa wanawajibika zaidi katika kusimamia shughuli za serikali bungene na...
  5. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkiomba Mh. Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa atumbuliwe mnajisiaje baada ya kutumbuliwa Dk Bashiru Ally?

    Wengi humu humu walitabiri nani angekuwa makamu wa rais wakimtaja hata Dk Bashiru Ally. Wengine walisema wazi waligemea mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa atupwe. Haiwi haiwi huwa. Sijui mnajisikiaje ambao watu wenu wametoswa? Ni swali tu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

    February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo). Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Armenia kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya kufanyika

    Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan ametangaza kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya wa mapema wa bunge ufanyike. Pashinyan ametangaza uamuzi wake huo leo wakati akizungumza na wakaazi wa mkoa wa Armavir ambapo amesema atajiuzulu mwezi Aprili. Atabakia katika nafasi hiyo mpaka uchaguzi...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutumia takwimu ambazo siyo rasmi hajavunja Sheria?

    Sheria ya takwimu iliyopitishwa hivi karibuni inakataza matumizi na kutangaza takwimu zisizo rasmi, nimemsikia Waziri Mkuu akiijulisha dunia kuwa watu bilioni 3.9 wamefuatilia msiba wa Hayati JPM. Takwimu hizo bahati mbaya siyo rasmi ila kwake zimemfurahisha kwani ni ushindi. Huko nyuma...
  12. JamiiForums Tanzania Mlengo na ukomavu wa Mama Samia utaonekana kwenye uteuzi wa Makamu wa Rais

    Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la! Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni. Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ametengwa au amejitenga na siasa za CCM na s=Serikali

    Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya imekua nadra sana kumsikia wala kumwona katika shughuli mbali mbali za cha chama na serekali. Tangu nafuatilia siasa enzo za Rais Kikwetu sio mtu wa kuongea wa kushiriki jambo lolote la kitaifa Tofauti na wenzake akina J.S.Warioba, J.S Malecela, E.N Lowassa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mfahamu Silvie Kinigi, Waziri Mkuu na acting president wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki

    Sylvia Kinigi ndie mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu nchini Burundi na kwa Afrika Mashariki. Na 1993-1994 akapata kuwa acting president wa Jamhuri ya Burundi. Mama Samia Suluhu Hassan, anapata kuwa Rais wa pili mwanamke Afrika Mashariki. Wanawake wote Hawa wawili sio kuwa walipigiwa kura za...
  16. JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

    Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

    Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
  19. JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika. Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…