waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  2. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu yaahirishwa Mbeya

    Mbeya. Mkuu Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo imesitishwa kufutia kifo cha aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa. Homera amesema leo Jumanne Agosti 3, 2021, akiongeza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa ameondoka...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atembelea shamba na kiwanda cha parachichi Rungwe

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na kiwanda cha kuchakata mazao ya parachichi na kuwasisitiza wananchi walime zao hilo kwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema, Serikali haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya corona. Amewataka Watanzania wapuuze upotoshaji unaosambazwa “Chanjo ni hiari tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake." ========= WAZIRI Mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wakuu wa mikoa wapiga marufuku mikusanyiko. Vipi Makamu wa Rais na ziara yake Mtwara?

    Sasa hivi ni matamko tu ya wakuu wa Mikoa kupinga mikusanyiko ya watu. Nimeshangazwa na taarifa kuwa Dkt. Mpango ana mpango wa kufanya ziara ya kiserikali Mtwara. Swali: Je, huko anaenda kuhutubia miti ya mikorosho ama anaenda kuhutumbia mkusanyiko wa watu. Delta namba 3 ipo.
  6. JamiiForums Tanzania Shaka ateta na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu

    SHAKA HAMDU SHAKA ATETA NA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU. Leo Ijumaa 23 Julai 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga Ofisini kwake Makao Makuu...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wenye miaka 45+ wako kwenye hatari zaidi kupata COVID19

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watu wenye miaka 45 na kuendelea ndio ambao wanaongoza kwa kupata #COVID19. Amekumbusha umuhimu wa kutumia njia zote kupambana na maambukizi ikiwemo kufanya mazoezi na kula vizuri. Aidha amegusia utaratibu wa kujifukiza ambao ulitumika kama...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuna wagonjwa wachache COVID-19, tuendelee kuwaombea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19. Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona. Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

    Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla. Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja. Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Morocco

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 13, 2021 kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa wa Morocco Nasser Bourita na Waziri Mkuu wa Morocco Saad Dine El Otmani. Katika Mzungumzo hayo Waziri Mkuu alizungumzia kuimarisha ushirikiano mzuri...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi. Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli. Lengo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia ahakikishiwa kubaki madarakani baada ya Chama chake kushinda Uchaguzi

    Prosperity Party imeshinda Uchaguzi kwa kupata viti 410 kati ya 436, hatua ambayo inamhakikishia Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed miaka mingine mitano madarakani Uchaguzi huo haukufanyika Jimbo la Tigray ambapo maelfu ya watu wanakabiliwa na uhaba wa Chakula. Raia wengine hawakupiga kura...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa Wizara ya Madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa Tanzanite

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite. Ametoa agizo hilo wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha pamoja Cha Tanzanite Magufuli (Magufuli Tanzanite One Stop Center)...
  17. JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Hali ya umaskini imeongezeka Mirerani, amuomba Waziri Mkuu biashara yote ya madini ya Tanzanite iishie Mirerani

    Mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka ametoa Ombi kwa waziri Mkuu alipokuwa mkoa wa Manyara kuzindua kituo cha Tanzanite Magufuli, kwanza ameomba ukaguzi wa Staha kwa watu wake bila kuathiri mapato ya Serikali mgodi wa Mirerani. Pia ameomba kuongezwa chumba kimoja kwa ajili ya ugaguzi wa wanawake...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

    Kwa mujibu wa Katiba yetu hii mbovu ktk ibara ya 52 (2). (..)Rais atamteua mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi, kuwa waziri Mkuu (..) N.B. Kila kwenye (..) kuna maneno nimeyaruka. Sasa huyu mhe Majaliwa alichaguliwa na wananchi ktk Jimbo lake? Jibu ni HAPANA hakuchaguliwa na...
  19. JamiiForums Tanzania DR Congo: Seneti yamuondolea kinga ya kushitakiwa Waziri Mkuu wa zamani, Matata Ponyo Mapon

    PICHA: Waziri wa zamani wa DR Kongo Matata Ponyo Mapon Seneti huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuondolea kinga ya kushtakiwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Matata Ponyo Mapon, hatua ambayo inaruhusu uchunguzi wa Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma. Wachunguzi wanasema Dola Milioni...
  20. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwa na mabaunsa

    Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi yanayowekwa nembo ya Serikali. Vilevile, wametakiwa kuacha kutumia vibaya Sheria inayowapa mamlaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…