waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Waziri Mkuu wa India kwa kudumisha na kujivunia utamaduni wa India katika mavazi

    Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
  2. JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani atangaza kufanya maandamano dhidi ya Serikali

    Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan, Imran Khan ametangaza kuongoza maandamano ya amani ya kudai uchaguzi mkuu ikiwa ni muda mfupi tangu aondolewe madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na Wabunge. Khan amewaomba wasuasi wake wa Chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) na raia wote wa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa kutoa maagizo kwa Mahakama kuhusu mashauri yote ya Watoto, yupo sahihi na itasaidia?

    Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo Mahakama. Unaweza kuisoma habari yenyewe hapo chini, nakubali kweli hoja yake ni nzuri na inaweza kusaidia...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Mashitaka Yamekuwa Mengi, Tunaongeza Mahakama Zinazotembea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ongezeko la mashitaka limekuwa kubwa na kuweka wazi kuwa hiyo inachangia Mahakama zilizopo kutokishi mahitaji ya kutoa huduma kwa wote wenye mahitaji, ndio maana Serikali imeweka mpango wa kuongeza Mahakama zinazotembea (mobile court). Ameyasema hayo wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea taarifa ya nyongeza ya mishahara, kuiwasilisha kwa Rais ambaye ataitangaza hivi karibuni

    UPDATES. TAREHE 23/72022 WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA *Aahidi kuikabidhi kwa Mheshimiwa Rais Samia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi Waziri Mkuu kumkemea Mkaguzi wa Ndani MSD

    Yawezekana mimi ambaye sijawahi kupitia chuo cha uongozi "Uongozi Institute" sijui namna bora ya kuongoza lakini kwa busara tu za kawaida siyo sahihi kabisa kwa waziri mkuu kumkaripia mkaguzi wa ndani wa MSD. Ilitakiwa waziri mkuu kuonyesha ukali kwa waziri wa afya, na kuhoji haya yanatendeka...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sri Lanka awasilisha barua ya kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu uhuru. - Kwa majuma kadhaa sasa nchi hiyo imekumbwa na vurugu kutokana na maandamano mbali mbali ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais, ikikupendeza irudishe TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu; Waziri Mkuu Majaliwa atakusaidia zaidi ya ulivyo muundo wa sasa

    Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unadhani kwa ulichobaini Mwanza, viongozi wa mkoa wanakusaidia wewe na Rais? Kama umebaini awawasaidii wanafanya nini ofisini?

    Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna viongozi wamekaa ofisini bila kutimiza wajibu wao. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza baadhi ya viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

    Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani. Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi? Nini kifanyike?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu inachezea akili za wanetu mafunzo VETA kila MWaka

    Hawa watu wamekuwa na utaratibu wa kutangaza kozi zinazodhaminiwa na wao kupitia VETA na vyuo vingine hivi. Nilifikiri Ndalichako ataboresha lkn kama alivyokuwa Jensiter huyu mama pia ni hovyo tu. Kwenye Tangazo lao wanaoomba kujiunga hawatakiwa kuwa na Fomu za Hospitalini kucheki afya zao...
  14. JamiiForums Tanzania Ivory Coast: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Patrick Achi amewasilisha barua ya kujiuzulu kwake na kwa Serikali yake. Rais Alassane Ouattara amekiri ukweli wa taarifa hiyo maamuzi ambayo yalitangazwa baada ya mkutano wa Baraza la Mawaziri ambapo alikubali kujiuzulu. Mkutano huo ulifanyika leo Aprili 13, 2022...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif: Pakistan inapendelea zaidi Amani na Uhusiano wa kushirikiana na India

    Waziri Mkuu mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif amesema nchi yake inapendelea zaidi amani na uhusiano wa kushirikiana na India, mtazamo ulioonesha kuchaguliwa kwake huenda kukatoa nafasi mpya ya kuwepo maelewano ya kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili jirani zenye silaha za Nyuklia. Katika ujumbe...
  16. JamiiForums Tanzania Shahbaz Sharif, Waziri Mkuu mpya Pakistan

    Bunge la Pakistan limemchagua Shahbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, baada ya Imran Khan kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye mapema siku ya Jumapili Aprili 10, 2022. Kiongozi wa muungano wa upinzani ambaye alikuwa amefanya kazi ya kumwondoa Khan alipata uungwaji...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kivuli, Dorothy Semu aja na mbadala wa hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu

    MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023 Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
  18. JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Wazalishaji/Wasambazaji waelekezwa kushusha bei za bidhaa muhimu

    Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashangaa Tanzania kuwa na wachambuzi wengi wa mpira huku haina kocha hata mmoja anayefundisha nje

    Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo. Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la Pakistan kupiga kura ya kutokuwa na imani Waziri Mkuu Imran Khan

    Bunge la Pakistan linatarajiwa kukutana Ijumaa kwa lengo la kushiriki zoezi la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Imran Khan, katika kile kinachotazamwa kuwa ni wakati mgumu kwake tangu aingie madarakani 2018. Mapema mwezi huu muungano wa vyama vya upinzani nchini humo uliwasilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…