Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati.
Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo.
Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi.
Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
Mkutano wa aina hii kiukweli mara ya mwisho niliushuhudia Wakati wa Hayati Sokoine.
Waziri mkuu anatoa nafasi kwa Watu zaidi ya 50 kuuliza maswali na kutoa maoni.
Nashauri Wabunge wote Kuanzia sasa waige mfumo huu wa kuwasikiliza Wananchi Wengi zaidi.
Mungu mbariki sana Waziri mkuu.
Habari,
Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo.
Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023.
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
Wakati baadhi ya maduka katika eneo la Kariakoo yakiendelea kufungwa kwa siku ya tatu sasa, wafanyabiashara wa soko hilo tayari wamewasili ukumbi wa Arnaoutoglou jijini hapa kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua changamoto zao leo.
Baadhi ya wafanyabiashara hao...
Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu.
Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa.
Maofisa wa Chadema makao makuu ambao hawajawahi kuuza hata senene au chumvi, wameandaliwa kukaa mstari...
Tumeona hivi karibuni Wabunge wakilalamika maagizo ya Waziri Mkuu hayafuatwi. Lakini ni kweli amekuwa akiongea na bila kusimamia maagizo yake.
Jana Wafanyabiashara Kariakoo wameonyesha dhahiri kwamba hakuna imani nae kwasababu hawezi kusimamia anachokiagiza na hata ungesikia kauli zake sio za...
Mfumo wa serikali unaenda kwa maandishi, nadhani kinachotokea nikutokuwa active kwa wasaidizi wa viongozi waandamizi.
Ofisi ya katibu mkuu kiongozi ikitoa forma directive kuhusu tamko la kisera la Mhe. Rais sidhani kama kuna mtu atapuuza. The same applies to Makamu wa Rais na Waziri Mkuu...
Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara.
Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika Soko la Kariakoo ambako wafanyabiashara wametangqza mgomo tangu asubuhi.
Majaliwa amelazimika kuacha Bunge na kuja kwa dharura ili kuzungumza na wafanyabishara hao kwa lengo la kupata suluhu.
Awali taarifa kutoka ofisi yake ilisema kuwa kiongozi hiyo...
KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua hatua zozote.
Miongoni mwa wabunge wanadai suala la Mbarali lazima litang'oka na Waziri Mkuu...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya.
Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya.
Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa?
Nina...
WIKI iliyopita Bunge lilichemka baada ya mvutano baina ya Jenister Mhagama na Spika wa Bunge kuhusu kauli ya Luhaga Mpina kwamba maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu wafugaji hayajatekelezwa na wanaendelea kunyanyaswa kwenye nchi yao.
Je ni kweli maagizo ya Majaliwa hayatekelezwi? Kati ya Jenister...
Jaji aliyemaliza muda wake wa kuitumikia Mahakama, Jaji John Mgeta amesema katika kazi yake ya utumishi kama Jaji hatasahau namna ambavyo kigogo wa Serikali alichana hukumu mbele yake.
Jaji Mgeta ameyasema hayo leo Mei 4, 2023 muda mfupi baada ya hafla ya kuagwa yeye na majaji wengine wawili...
Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu.
Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
MBUNGE KALIUA, MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA MAELEKEZO ALIYOYATOA BUNGENI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KWENYE HIFADHI
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa hotuba nzuri aliyoitoa leo...