waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
  2. LINGWAMBA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo. Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
  3. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi. Akastaafu...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

    Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
  5. Mmawia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana Ruangwa tunajua kushukuru, wanawake wagalagala mbele ya Majaliwa kama shukrani kwa utendaji wake!

    Hapa chini ni wananchi wa Ruangwa wakifurahia jambo lao. Mbele ya waziri mkuu na mbele ya makamu mwenyekiti wa ccm wananchi wanaonyesha furaha yao. Hakika wanachama wa ccm tunajua jinsi ya kutoa shukrani kwa watawala wetu. Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mke - Waziri Mkuu anahitajika kuisimamia serikali vema

    Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia kuanzisha pamoja. Naomba ifahamike kuwa nchi yeyote Ile duniaini ili ifanikiwe inahitaji serikali...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu na Waziri Mkuu wameshiriki misa ya Krismasi katika Manisa gani? Ni upi ujumbe wao kwa Watanzania?

    Nimependa kuona salam za Christmas's za viongozi wa Kitaifa. Ningependa kusikia kauli zao kuhusu upungufu wa maadili, kuongezeka mauaji, kero za huduma ikiwemo upungufu wa umeme. Lakini bado sijaweza kusikia salamu zao rasmi. Au awajashiriki misa ya Christmas's? Au watazungumza nasi jioni...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu amekiri moto wa Hamas ni mkali

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
  12. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri Mkuu wa zamani wa Singapore

    Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali. Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s). Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  14. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Katikakatika ya Umeme na Uhaba wa mafuta yamtia kikaangoni Majaliwa mbele ya Wajumbe wa NEC, ashusha rungu kwa Mawaziri husika

    === Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si mara kwa mara na changamoto ya bei ya mazao ya kilimo. Pia, katika kikao cha NEC kilichofanyika...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miezi 6 kwa utapeli wa kutumia jina la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
  17. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amekemea Songwe, lakini ni aina tatu za watu zinatuponza

    Na Elius Ndabila 0768239284 Habari wanajamii forumu. Ni muda sijaandika hapa Zaidi ya kusoma. Nilikuwa msomaji kidogo , kwa hiyo mkiona kuna makosa kwenye andiko basi mjue ni uzee. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Majaliwa amehitimisha ziara yake ya kikazi jana Mkoani Songwe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa yanapuuzwa?

    Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu wakiwashawishi wabunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye kwa kushindwa kusimamia majukumu ya...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Watoa huduma za fedha punguzeni riba ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi. Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
  20. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

    Hakika naona utendaji kazi mzuri sana. Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka. 1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende. 2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
Back
Top Bottom