mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
Assalam Alyekum!
Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo
Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba.
Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru
Njoo mpe majibu huyu Mzee
Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza na wagonjwa na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea mkoani...
Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali anapoongea watu wanatakiwa waogope na anapotoa maagizo watu lazima waone kweli lazima yatekekelezwe.
Angalia ziara za Mwigulu
Nchemba ni kama vile anafanya maigizo na sio tena kusimamia na kutoa amri shughuli za serikali zitekelezwe
Namna Kasimu...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
Ndugu Zangu watanzania,
Kiukweli na kwa hakika Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean Ameiva kwelikweli. Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hakukosea hata kidogo kumpendekeza au kupendekeza jina lake kuwa Waziri Mkuu wetu...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean au waweza kumwita Mzalendo wa kweli Ametua na kuingia Kikomandoo Mkoani songwe Usiku Huu.
Ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya ziara nzito kwelikweli katika...
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua.
Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa...
Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma.
🗓️Desemba 11, 2025.
Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
Anazunguka tu wala hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi.
Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongelesha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana.
Siku 40 na ushehe zimeisha bila kujua Waziri Mkuu ana maono gani.
https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh
Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note:
Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake
Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024.
Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa
Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na mitaji yao hata kama wakikutwa na makosa ushughulikiwe utaratibu tu! na sio kuua mitaji yao midogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.