waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kwa Magaidi wa Hamas!!

    Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu: Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya. Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama: 1. Mateka wote waachiliwe . 2. Hamas wanyang’anywe silaha. 3. Ukanda usiwe na...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Responded Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

    Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika? ---- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
  3. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utabiri: Baada ya uchaguzi mkuu, kwa mara ya kwanza Tanzania inakwenda kuwa na Waziri Mkuu mwanamke

    Niaje waungwana Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania. Uteuzi huo utakuwa wenye mshangao, na mjadala mkubwa kutokana na ugeni wa mteuliwa, ila mwisho hali itatulia na...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Israel yamuua Waziri mkuu wa Yemen

    #HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu. Wengine kadhaa...
  5. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia

    WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini 📌Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia Ataja faida za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Houthi Ahmed al-Rahawi, ameuawa na Israel

    Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel atoa maagizo ya kuachiliwa mateka wote na kwa mara moja kwa Masharti anayoyataka yeye!!!! “Yajayo yanafurahisha

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu: "Nimeagiza kuanza mazungumzo ya haraka ya kuachiliwa kwa mateka wetu wote na kumaliza vita chini ya masharti yanayokubalika kwa Israeli. Tuko katika hatua ya ushindi wa uhakika. Nimekuja leo kwenye Kitengo cha Gaza ili kuidhinisha mipango iliyowasilishwa kwangu...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania SOMO: Tusifanye makosa dhidi ya watu hawa tukidhania tunaowakosea

    Tusifanye makosa dhidi ya watu hawa tukidhania tunaowakosea ni wao kama individuals bali wao ni Taasisi. Kwa uelewa wangu wa elimu ya uraia naamini kosa dhidi yao halina sababu ya kuthibitishwa au kutolewa ushahidi ma wao. Pengine ndio maana katiba yetu iliyoenea vyema imewapa Kinga na Image...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri mkuu wa Mali Choguel Kokalla ashitakiwa kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga ameshitakiwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma, kughushi na kutumia nyaraka za uongo. Maiga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya mapinduzi ya pili ya kijeshi mwaka 2021, lakini alifutwa kazi baada ya kuikosoa serikali ya kijeshi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua Mabasi, Miundombinu ya mradi wa BRT awamu ya Pili, Agosti 13, 2025

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pamoja na miundombinu ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo cha Mbagala Rangi tatu na kituo cha gerezani, jijini Dar es Salaam. Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Chad, Succes Masra, ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela na Faini takribani bilioni 4

    Mahakama nchini Chad imemhukumu kiongozi wa upinzani na waziri mkuu wa zamani, Succes Masra, kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuchochea vurugu za kikabila zilizogharimu maisha ya zaidi ya watu 40 kusini-magharibi mwa nchi hiyo mwezi Mei idara maalum cha makosa ya...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Asante waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kuirudisha Gaza Israel tena

    🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas. IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano. Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri Tulia Ackson atakuwa Waziri Mkuu baada ya Kassim Majaliwa

    Mimi Mdogo ake the BOLD leo tarehe 05.08.2025 natabiri next PM will be TULIA ACKSON MWASANSU "Amtumaniae Bwana ni kama mlima SAYUNI"
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atembelea Banda la Yas maonesho ya Nanenane 2025

    WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Yas kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanayoendelea jijini Dodoma. Maonesho hayo ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanaendelea jijini Dodoma ni uthibitisho kuwa Yas na...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi. Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!. Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha? Anasema...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza mahusiano ya kidiplomasia na kibiashara kati ya Tanzania na Grenada

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Thomas Mitchell na kumhakikishia kuwa Tanzania itaendeleza mahusiano kidiplomasia na kibiashara kwa manufaa ya pande zote mbili. Amesema kuwa Tanzania itaendelea kutumia Jukwaa la Nne la Kibiashara na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

    Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaopanga kumpa Paul Makonda Uwaziri Sijui Uwaziri Mkuu, Kumbukeni alishapigwa marufuku Kukanyaga Marekan, Ulaya !!.

    Mtachagua wenyewe sasa!! Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US. Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
Back
Top Bottom