Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo.
Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi...
je, waziri mkuu haramu anajikomba kijifanya anatembelea hospital kwa kushtukiza ili kukwepa ghasia za wananchi.
Mimi nafikiri huu ndio mwisho wake hawezi kutembelea wananchi uso kwa uso nchi imeshagawanyika hii.
Hayupo na hata kuwepo mtu atakaye kuwa na ubavu wakuingia mitaani kwa watu ambao...
Waziri Mkuu Mwigulu afika na mkewe kanisani Usharika wa Kisasa Dodoma na ulinzi mkali, afikisha salamu za Rais Samia Amani
https://youtu.be/wEZdUyMljiQ?si=f7KAhBCRRdLsfD70
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaleteeni Wasifu mzito na wa Kutetemesha Wa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba au waweza kumwita Mr Clean ikiwa na Maana ya mtu safi ,muadilifu asiye na makandokando wala kashifa ya aina yoyote ile. Au...
"Umepokea kijiti kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimwa Kassim Majaliwa ambaye amefanya kazi nzuri kufanikisha tunayotamba nayo leo, tukitamba na vituo vya shule, vituo vya afya, Mahospitali ya Rufaa ya Kanda. Kila tunachotamba nacho leo yeye alikuwa nyuma yangu kuhakikisha mambo yanakwenda...
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake
Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police,
Vyombo vya...
MHE. DKT MWIGULU APOKELEWA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Mteule Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma Novemba 13, 2025.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia Amewakosha na kuwafurahisha kwelikweli Watanzania. Amewapa Zawadi Ya kufungia Mwaka. Amewapa kile walichohitaji watanzania. Amekata kiu ya watanzania. Amewapa matumaini ,tabasamu na nyuso za furaha watanzania.
Uteuzi na Hatua ya Kumteua Uwaziri...
Kwenye IG ya Polisi Tanzania wanaposti hotuba za waziri mkuu mteule Mwingulu Nchemba kwa misingi ipi?
Mbona wanaleta mambo ya Polisiccm na siasa za uchawa. Yani tumeshindwa kuelewa
Basi kama walitaka kumpost wangetengeneza post ya kumpongeza kuliko kufanya uupuzi wao kama huu.
Na hii si mara...
Bunge la Tanzania linapaswa kufuata best practice katika mchakato wake wa kuthibitisha uteuzi wa mtu fulani kuwa Waziri Mkuu. Kwenye nchi za wenzetu wenye mifumo thabiti ya kidemokrasia, mteule anayehitaji kuthibitishwa na Bunge huwekwa kitimoto wakati wa kile kinachoitwa “confirmation hearing”...
Kama kweli kuna nia ya kuliponya hili taifa basi kesho hiyo hiyo wangetolewa wooooteeeee bila kujali walivunja nini!
Maana kama kukosea wooote tumekosea sio Rais, sio vyombo vya dola, sio wabunge, sio wapigakura, sio viongozi wa dini wala nani!
Nchi nzima kila.mtu anamnyooshe mwenzie so...
Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais.
Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari ameyaweka wazi majukumu makubwa ya Waziri Mkuu wa Tanzania kama yanavyoelezwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Majukumu hayo na mengine ndiyo yanayotarajiwa kutekelezwa na Dkt. Mwigulu Nchemba aliyeteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Tunampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Dkt. Mwigulu Nchemba kushika wadhifa wa juu kabisa wa kiutendaji – Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha kuaminiwa kwa mtu mwenye rekodi ya kiutendaji serikalini, mwenye elimu ya hali ya juu, uzoefu wa kisiasa, na...
Serikali nzima haitakiwi, Samia na Mwigulu ndiyo kabisaaa, hawatakiwi na watanzania.
Maandamano ya 29.10 yalichochewa na mambo mawili: kuzuia uchaguzi na kuukataa uteuzi wa Samia kama mgombea urais wa Tanzania
Katika maandamano hayo mabasi ya Ester yanayodhaniwa kuwa ni mali ya Mwigulu Nchemba...
Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais.
It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa.
Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa kwa Bunge la Tanzania ili kupigiwa kura na wabunge.
Baada ya pendekezo hilo, wabunge watapiga kura...
hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande
1. Mwigulu Mchemba
Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye
2. Kabudi
Huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.