Mh Waziri Mkuu,
Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako.
Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
Waziri Mkuu goodmorning
Nimeona nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kusikiliza malalamiko ya wananchi mkoani
Waziri Mkuu nimeona niseme haya
Pamoja na kazi nzuri unayofanya yale maagizo huwa mengi hayatekelezwi. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa ziara za Majaliwa, kwa kweli kuna mambo alikutana...
▪️Mkutano huo unafanyika katika hoteli ya Ngurudoto-Arusha, Februari 24, 2026
📌 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekwamua miradi iliyoshindwa kutekeleza kwa muda mrefu na ameibua miradi mipya katika maeneo ambayo yalikosa maji kwa muda mrefu.
📌 Tunatakiwa tushinde ‘Site’, pale ambapo fedha ipo...
Napoandika hii post leo, na siku za karibuni Waziri Mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Mjini, mipango miji na TARURA kwa kula rushwa na kuuza maneno ya wazi au kuwezesha maneno ya wazi kuuzwa kwa...
Anonymous
Thread
backbenchers
fichua
fichua rushwa
fichua uovu
hii
manispaa ya moshi mjini
mkuu
tanganyika amka
wananchi tumechoka
waziriwazirimkuu
Siku hadi siku wanaCHADEMA wanazidi kuweka ujinga wao hadharani bila aibu. Huko X wanadanganyana kuwa Lissu anabembelezwa kuwa waziri mkuu huku akiwa hana vigezo. Hii KATIBA MPYA mnayodai ni ipi? Ndo maana wengi wenu kutokana na akili ndogo huwa mnakimbilia kusema TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA bila...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwezesha utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo inayoanza Julai 2026, ikiwemo Dira ya Taifa ya 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31).
Akifungua Kikao Kazi...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya...
Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye
Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi,
Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama...
Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), Amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Adai ameanza kusakamwa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza.
Mwenyekiti huyo ameeleza yote hayo Katika ziara ilifanyika leo Februari 16, 2026, na Waziri Mkuu- Mwigulu Nchemba huko Muheza Tanga.
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo.
“Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
———————————-
Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku.
Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026.
Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
Katika mahojiano maalum na Fox Business, Trump alieleza namna nchi nyingi kama Uswisi zinavyonufaika kwa mrefu huku kujaza bidhaa zao marekani bila ushuru huku wao wakiendelea kutoza ushuru bidhaa za Marekani,
"Nilikuwa na tukio na nchi moja nzuri sana, Uswisi. Walikuwa hawalipi ushuru wowote...
Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia.
Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani
Unadhani huwa ni nini kinapelekea Mh. Mwigulu kukutwa na hali hiyo?
WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA VIJANA KWA AJILI YA KUIMARISHA MAADILI NA MSHIKAMANO WA TAIFA
▪️Atoa tahadhari dhidi ya kuingiza mijadala ya kejeli katika masuala ya imani
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amehimiza malezi bora ya watoto na vijana kama silaha muhimu ya kudumisha maadili...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
▪️Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.