waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atua na kuingia Kikomandoo mkoani Songwe Usiku huu

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean au waweza kumwita Mzalendo wa kweli Ametua na kuingia Kikomandoo Mkoani songwe Usiku Huu. Ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya ziara nzito kwelikweli katika...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula, Mvua zimechelewa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo

    Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma. 🗓️Desemba 11, 2025.
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

    Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Waziri Mkuu anapwaya kama huyu wa sasa

    Anazunguka tu wala hana dira mkononi. Kazi yake ni kubweka tu hata hajui mahitaji ya wananchi. Yeye kila ananekutana nae anasimamisha msafara anaanza kujiongelesha, Samia Samia Samia . Hii hatari sana. Siku 40 na ushehe zimeisha bila kujua Waziri Mkuu ana maono gani.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  8. MKWANO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Manispaa ya Ilemela mnamhadaa waziri mkuu kwa faida ya nani ?

    1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu: Watu wa majiji msichukue bidhaa za raia, Ndio Ofisi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na mitaji yao hata kama wakikutwa na makosa ushughulikiwe utaratibu tu! na sio kuua mitaji yao midogo...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kwa Mwigulu watanzania tuna Waziri Mkuu Kivuli

    Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hata kipindi cha Hayati Magufuli alitokaga Waziri Mkuu akadai yupo mzima na anachapa kazi

    Nimerudi nyuma kukumbuka kipindi kile cha JPM na waziri mkuu. Tokea ile hotuba Who are You kufanya sasa wazee hawapishwi siti. Kwa nini kila mtu anatoka kumuongelea wakati kuna protocal za kiserikali kama juzi RC wa dar kuitosha vyombo vya habari wakati ilitakiwa msemaji ndio kutoa taarifa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulikuwa Waziri wa Fedha leo ni Waziri Mkuu inakuwaje kusema kuna kijana kalipwa Bilion 5 kwenye simu kwa maandamano!

    Hii nchi kunashida ya genetic za waafrika halafu anajiita dokta sijui wa nini?. Yani katika vitu tanzania vitakuja kusababisha matatizo ni hawa CCM wanaotawala kwa kujipa vyeo na elimu ambazo zinatupa mashaka. Leo hii unasema vijana walilipwa ina maana Tanzania nzima hizo pesa zilizotolewa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anasema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouawa, tuhesabu vitu vilivyoharibiwa

    Imenisikitisha sana kuisikia clip ile inayomuenesha akisema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouwawa 29 October, kwani kufanya hivyo ni kuwahesabu watu kama vile tunahesabu vitu. Nasema inasikitisha saaana kusikia haya kutoka kwa mtu ambaye alipaswa kuwalinda na kuwaheshimu watanzania.
  15. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kukiri hadharani kwamba "Wanaharakati wanalipwa" ni kukiri "Serikali Imefeli" vita. Siku hizi maadui hawatumii bunduki tena

    Yes. Hilo ni bonge la boko ametoa PM. Boko la 2 ni kukataa kubeba accountability ya kilichotokea na kinachoenda kutokea D9. Kosa la 3 ni kuendelea kutumia mbinu ya cheap propaganda kuzuia tatizo lilelile lililotokea MO29. Sisi wananchi inatuhusu nini kushawishiwa (hata kama ingekuwa kweli...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu mwenye Saini kubwa ya pesa unasema watu wamelipwa naomba majibu na mumutagi hapa

    1.Magoli ya mama 2.Wasanii mpaka kuona wananchi na mashabiki zao kuwa ulikuwa waziri was wapi. 3.Mapikipiki,baiskeri,pesa za machawa na Kila waliotaka kupoza tumbo Kwa biriyani na bia ya kichwa pesa ilitoka wapi na wewe ulikuwa waziri wa Saini. 4.Media zimepata pesa mpaka kuitwa wafuwasi wenu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  18. Patriot

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba afahamishwe kwamba kukiuka sheria za barabara ni dalili ya maovu makubwa tunayofahamu ndani ya serikali

    Mwigulu Nchemba sasa anazunguka kama waziri mkuu, ingawa hali ilivyo, yuko ktk serikali ilisiyotambuliwa. Ameanza kuonesha kwamba anajali hali za wanyonge, kwamba yeye ni mtu makini, kwamba anasimamia haki. Alichokisema juu ya tabia ya viongozi wakiwa barabarani, tulishajadili hapa JF. Kwamba...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nestory Clever: Waziri mkuu anasema Tanzania ina rasilimali za kutosha. Mbona Watanzania hatufanani na rasilimali hizo?

    Bado watawala hawajui vijana wanataka nini?....bado watawala wanaamini kwamba Maandamano ya Oktoba yalitokana na vijana kufuata mkumbo?....Bado watawala hawajui ni haki gani vijana wanadai?...Endeleeni kukaza mafuvu. Ziara ya Mh. Nanauka inaendelea katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwa na lengo...
  20. toriyama

    JamiiForums Tanzania Duru zinaonesha Kuna uwezekano mikubwa Mwigilu nchemba akawa waziri Mkuu atakaestafishwa mapema kabla ya muda wake kuisha

    Duru zinaonesha Kuna uwezekano mikubwa Mwigilu nchemba akawa waziri Mkuu atakaestafishwa mapema kabla ya muda wake kuisha . Ni aina ya kiongozi ambaye ameshindwa kutumia Ile mbinu ya collective responsibility badala anamgeuka aliemtuma kupoza dhoruba...
Back
Top Bottom