WAZIRI MKUU ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA WILLIAM LUKUVI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (PICC) kushiriki Mkutano wa 110 wa Wadau wa Elimu kwa Umma (WASHITIRI) leo Machi 25, 2026, ametoa salamu za pole...
Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma.
Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) angeanza ziara ya kupitia hususani katika Halmashauri zote...
Anonymous
Thread
halmashauri
mkuu
nyingi
utumishi
waziriwazirimkuu
ziara
EID MUBARAK
Naungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri.
Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili...
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa ujumbe kwa watu wa Iran wakati Wafuga Midevu na Majini wanadai amekufa!!
"Niko hapa na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Mkuu wetu wa Majeshi, mkuu wa Mossad, Mkuu wa Jeshi la Anga, makamanda wetu wakuu. Katika saa 24 zilizopita, tuliwaangamiza wakuu...
The video shows an old man who is being dragged by security forces in Kololo independence ground.
Many people are mistaking the old man to be Gen. Moses Ali current Member of Parliament Adjumani West Constituency .
However, that does not seem to be Gen Moses Ali but another old man who wanted...
Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa
📍Nsimbo-Katavi
🗓️Machi 15, 2026
WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI
▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali
▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji
▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi.
Amesema chama hicho siyo cha...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amefanya ziara mkoani Katavi kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa mkoani humo ikiwemo ujenzi wa shule na hospitali na kuelezea mafanikio yaliyofanyika katika kipindi cha uongozi wa awamu ya sita.
Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi...
WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI
▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini
▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA KAGWIRA – KAREMA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya Kagwira – Karema (kilometa 112) katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.
Mradi huo unatekelezwa na Wakala wa...
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.
Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi.
Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania.
Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.