Sasa tunapitia Ukanda wa Gaza, na tunaongeza shinikizo hatua kwa hatua, kuteka maeneo na kuwaondoa magaidi."
https://x.com/vividprowess/status/1907465451640115531?s=61
IDF muda mfupi uliopita imemuua gaidi mkuu wa Hamas Ismail Barhoum ndani ya Hospitali ya Nasser huko Khan Younis, kusini mwa Gaza.
Kulingana na ripoti za ndani, ndege isiyo na rubani ya IDF iliruka hadi hospitalini, ikamtafuta Barhoum, na kisha ikalipuka baada ya kumpata, ikiepuka uharibifu...
Waziri mkuu ndo mwenye dhamana ya juu kabisa katika utendaji wa serikali ikiwemo wizara ya ELIMU
Kauli yake haiwi ushauri Bali ina mamlaka na ukweli wa utendaji wa serikali
Kitendo Cha kuonyesha madhaifu na mapungufu makubwa ya mfumo muhimu katika Taifa lolote ambao uko chini ya wizara ya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake akiwemo Dkt. John Pombe Magufuli.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo,
**Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi.
Mengineyo
1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani),
2. Ulinzi (mpaka kifo),
3. Gari na dereva...
Salamu ndugu Watanzania!
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena.
Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya...
Hivi karibuni PM ametoa kauli ya ajabu ambayo haitarajiwi kutolewa hata na mjumbe wa nyumba kumi:
Majaliwa anadai kuwa watanzania ambao wamemaliza vyuo vikuu na hawana ajira, wakajiunge na VETA ili wajiajiri! Hiki ni kioja kikubwa!! Yaani mechanical engineer akajiunge VETA ili akawe fundi...
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.
Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI......
Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear...
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua...
Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili
Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!
huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z.
Kijana...
Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari
Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8
Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi.
Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
Muda wa kurudi majimboni sasa na kutoa chochote kitu. Ndiyo muda wa wananfunzi kuahidiwa wali nyama shuleni
===
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake.
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...
Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho.
Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.