wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uendelezaji wa maeneo ya wazi Tanzania

    Utangulizi: Yapo maeneo mengi ya wazi ambayo kwa namna moja ama nyingine naona bado hayajapata bahati ya kuendelezwa ili kuweza kuwanufaisha wananchi wa maeneo hayo kutokana na faida zake. Kama maeneo haya ya wazi yataendelezwa, basi naamini kuwa yatasaidia sana wananchi kufanya tafakari za...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna viwanja vya wazi vinatumika kuongeza watumiaji wengi wa madawa ya kulevya Dar es salaam

    Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo. Kama ilivyo adha kwamba kila kizuri kina kasoro basi, kwa utafiti wangu nilioufanya kulizunguka jiji la dar es salaam nimegundua...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Wakuu Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa Huyu mchumba wangu...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mahari ifutwe?

    Habari! Hii mada imejadiliwa mara nyingi na sehemu nyingi. Je, mahari inayotolewa ili kijana aozeshwe ifutwe? Kama ifutwe toa sababu, kama uendelee toa sababu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya uchokozi dhidi ya China inayotekelezwa na Marekani yazidi kuwa wazi

    Fadhili Mpunji Wiki mbili baada ya Spika wa baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kutembelea Taiwan, kinyume na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu uhusiano wa kidiplomasia, na kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na serikali za China na Marekani, kwa mara nyingine tena Marekani imefanya...
  6. JamiiForums Tanzania Badili mtazamo wangu, kipimo mojawapo cha kujua mwanaume bado hajakua, hajapevuka akili ni yeye kuweka wazi matamanio ya ngono na wanawake

    Kupenda wanawake ni jambo moja lakini kuweka hisia zako wazi wazi ni kitu kingine kabisa. Wanaoweka hizi hisia wazi wazi mara nyingi wanakuwa ni vijana chini ya miaka 30, na hata humu ndani pamoja na mitandao mingine hiki ndicho kipimo natumia kumjua mtu bado ni mtoto au mtu mzima kiakili...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi Simba ni sikio la kufa halisikii dawa: Mazoezi bado ya wazi

    Jana usiku wamepost picha zao wenyewe kwa raha zao kuhusu mazoezi yao wakijandaa na geita gold kuna raia wamehudhuria na kwenye hizo picha kuna mmoja kabisa anarekodi. Kabla wale wa comment za OYAA ACHA MAMBO YA KISHAMBA NA KIZAMANI hawajaanza embu soma alichowahi kuandika aliyekuwa katibu na...
  8. JamiiForums Tanzania Waendesha mashtaka wapinga taarifa za upekuzi wa Trump kuwekwa wazi

    Wizara ya Sheria ya Marekani imesema kuweka wazi vielelezo vya kibali kilichotumiwa na Maafisa wa FBI kupekua nyumba ya Rais Mstaafu Donald Trump, kunaweza kusababisha madhara yasiyoweza kurekebishwa. Taarifa iliyotolewa na waendesha mashtaka Mahakamani imesema Nyaraka zilizowasilishwa zina...
  9. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street Club hii...
  10. JamiiForums Tanzania Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

    Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana. Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GEITA GOLD KARIBUNI MAZOEZI YA WAZI BUNJU JUMATATU&JUMANNE

    Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu tunarudi pale baada ya jana kuendeleza uteja kwa utopolo fc Hata mkirekodi kwenye simu au kuja na...
  12. JamiiForums Tanzania Siku ya Mwananchi: Kumbe jana walifungulia geti wazi

    Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure Hii ni AIBUUUUU
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hata Trump haamini, amebaki kinywa wazi na kushindwa kutweet chochote mpaka sasa!

    Aisee nimetokea kumpenda bure huyu mama Nancy Pelos jamani. katikati ya mijabali miwili inayotunishiana misuli, mama anatembea kwa madaha bila wasiwasi wowote. Hili hata Trump, pamoja na kujitia kichaa, asingeweza! Hili hata yule msema hovyo aliyetimuliwa uPM kule UK, Bojo, asingeweza...
  14. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Innocent Bashungwa: TAMISEMI ina kero asilimia 70

    Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70. Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana midomo, kutiana presha watumishi idara za Elimu, zaidi sekondari. Kwa maagizo ya kurugenzi za wizara...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tuwekane wazi kilimo chenye tija ni cha umwagiliaji

    Wasalamu ndugu zangu, km ambavyo kichwa cha uzi kinajieleza miaka ya nyuma kabisa nilikua mpenzi wa kufuatilia nyuzi mbalimbali zinahusu kilimo katika jukwaa hili. Nyuzi nyingi zimeandikwa katika upande wa mafanikio tu na kusahau changamoto ambazo ndizo zinamfanya mkulima aamue vyema. Baada ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Je, Balozi Ombeni Sefue ndiye mshauri Mkuu wa Rais Samia?

    Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu. https://www.linkedin.com/in/ombeni-sefue-73056220/
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga tunajua pesa ya pre season hamna tuwekeni wazi mashabiki tuchangie

    Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa. Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akikupenda na ukamkatalia kuwa nae kwenye mahusiano anakuchukia na kukuchukulia kama adui yake wa wazi.!?

    Salaaaaaaam.! Hii imekaaje wakuu.! Mwanamke akikutaka kwa kukushawishi au kukutongoza kabisa ila ukamkatalia kuwa nae hata kwa njia za kistaarab na kiuungwana lazima ajenge chuki juu yako.!?
  20. JamiiForums Tanzania LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

    Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…