Badili mtazamo wangu, kipimo mojawapo cha kujua mwanaume bado hajakua, hajapevuka akili ni yeye kuweka wazi matamanio ya ngono na wanawake

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Kupenda wanawake ni jambo moja lakini kuweka hisia zako wazi wazi ni kitu kingine kabisa.

Wanaoweka hizi hisia wazi wazi mara nyingi wanakuwa ni vijana chini ya miaka 30, na hata humu ndani pamoja na mitandao mingine hiki ndicho kipimo natumia kumjua mtu bado ni mtoto au mtu mzima kiakili.

HIZI NI TABIA ZA WAVULANA BADO HAWAJAPEVUKA KIAKILI (WENGI U30)

-Kupost status za picha za madem hata ambao sio madem zake ili aonekane anawangoa
-Kutumia muda mwingi na nguvu kubwa (hadi uongo) kujisifia wana nguvu za kiume
-Kutumia muda mwingi na nguvu kubwa (hadi uongo) kujisifia wana uume mkubwa
-Kuongelea sana mbinu za kutongoza wanawake
-Kuahirisha mambo muhimu kwajili ya ngono
-Kuoa kwajili ya sex badala ya akili / tabia
-Kulalamika hadharani hawezi kujizuia kufanya sex, kila siku lazima afanye sex, n.k. hapa watu wazima tunaona kabisa dogo halalamiki bali anataka sifa za kijinga kwamba angonga sana.

Wanaume tuliopevuka kiakili tulishapita huko, Mambo ya sex huwa ni siri sio mambo ya kujitapatapa hadharani.

-Mambo ya kutamba na mademu ni ya wavulana, mwanaume aliepevuka anaweza kuwa na wanawake wengi tu lakini huona ni busara kufanya iwe siri.

-Mambo ya kutongoza na uwongo kwa mtu mzima hana muda nayo, Kama mwanamke unamtaka ukiwa ni mwanaume uliepevuka kiakili ni kazi ndogo sana.

- Huo muda wa kujisifu unapiga sho magoli matatu unautoa wapi aisee, tena unakuta mwanamke mwenyewe ni wa fasta ama abae huna malengo nae zaidi ya kupunguza ashki zako, Mtu mzima unapiga umalize haja zako, yeye kama yupo kwajili ya pesa yako cha kujihangaisha ni nini, hizo bao za ziada ni kwajili ya wake zetu tu ama michepuko ya muda mrefu.
 
Hao tunawaita mabishoo pia kuna vijana ni u30 lakini wanajitambua tu mkuu hao ambao wapo hivo ni malezi na balehe zinawasumbua.
 
Kupenda wanawake ni jambo moja lakini kuweka hisia zako wazi wazi ni kitu kingine kabisa.

Wanaoweka hizi hisia wazi wazi mara nyingi wanakuwa ni vijana chini ya miaka 30, na hata humu ndani pamoja na mitandao mingine hiki ndicho kipimo natumia kumjua mtu bado ni mtoto au mtu mzima kiakili.

HIZI NI TABIA ZA WAVULANA BADO HAWAJAPEVUKA KIAKILI (WENGI U30)

-Kupost status za picha za madem hata ambao sio madem zake ili aonekane anawangoa
-kutumia muda mwingi na nguvu kubwa (hadi uongo ) kujisifia wana nguvu za kiume
-kutumia muda mwingi na nguvu kubwa (hadi uongo ) kujisifia wana uume mkubwa
-kuongelea sana mbinu za kutongoza wanawake
-kuahirisha mambo muhimu kwajili ya ngono
-kuoa kwajili ya sex badala ya akili / tabia
-Kulalamika hadharani hawezi kujizuia kufanya sex, kila siku lazima afanye sex, n.k. hapa watu wazima tunaona kabisa dogo halalamiki bali anataka sifa za kijinga kwamba angonga sana.

Wanaume tuliopevuka kiakili tulishapita huko, Mambo ya sex huwa ni siri sio mambo ya kujitapatapa hadharani.

-Mambo ya kutamba na mademu ni ya wavulana, mwanaume aliepevuka anaweza kuwa na wanawake wengi tu lakini huona ni busara kufanya iwe siri.

-Mambo ya kutongoza na uwongo kwa mtu mzima hana muda nayo, Kama mwanamke unamtaka ukiwa ni mwanaume uliepevuka kiakili ni kazi ndogo sana.

- Huo muda wa kujisifu unapiga sho magoli matatu unautoa wapi aisee, tena unakuta mwanamke mwenyewe ni wa fasta ama abae huna malengo nae zaidi ya kupunguza ashki zako, Mtu mzima unapiga umalize haja zako, yeye kama yupo kwajili ya pesa yako cha kujihangaisha ni nini, hizo bao za ziada ni kwajili ya wake zetu tu ama michepuko ya muda mrefu.
Mbona umejisifia hadharani pia kwamba una akili na umepevuka? Na wewe tukueke kundi gani?
 
Subiri tu vijana waje kama hawatokuambia huwezi kujisifu na nguvu za kiume hauna umri umesogea ukalee wajukuu sijui
 
Kwenye kupost hapo sio kigezooo kuna mzee mtu mzimaa namjua aisee anapost wadada wanakatikaa alafu wale wenye makalio makubwa na huyo kaoaa na ana familiaaa
 
Uongo kabisa!
20220816_163937.jpg
 
Back
Top Bottom