wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  3. JamiiForums Tanzania Mji wa Berlin kuruhusu wanawake kuogelea vifua wazi katika mabwawa ya umma

    Moja kwa moja. Mamlaka ya mji wa Berlin nchini ujerumani imepitisha uamuzi huu baada ya mwanamke aliyeondolewa kwenye bwawa la kuogelea bila nguo kuchukua hatua za kisheria. Mamlaka zinadai kuwa alikuwa muathiriwa wa ubaguzi na wageni wote wanaokwenda katika mabwawa hayo wanahaki ya kuogelea...
  4. JamiiForums Tanzania Majibu ya Juma Lokole kwa Baba Levo

    ====== Watangazaji wa kituo cha wasafi Baba Levo na Juma Lokole wamezua sintofahamu baada ya kurushiana maneno yanayo hashiria kuhusika na vitendo vya kishoga na ufiraji ambavyo ni kinyume na maadili ya kitanzania! Baada ya picha za mtoto wa Kajala kusambaa kwenye mitandao ikidhaniwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Naibu Waziri, Wizara ya Elimu kuhusu mradi wa HEET

    Barua ya wazi kwa: Naibu Waziri, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania. Ndugu; YAH: KUKOSA IMANI NA WASIMAMIZI WA MRADI WA HEET (HIGHER EDUCATION FOR ECONOMIC TRANSFORMATION PROJECT) Tafadhali husisha kichwa cha barua hapo juu. Mimi ni mtumishi katika chuo kikuu kimoja hapa...
  6. JamiiForums Tanzania Drone za Ukraine zaanza kujongea Moscow, anga ya Urusi wazi bila ulinzi

    Hii imewashangaza sana Urusi kwa drone kukaribia Moscow bila kugunduliwa...... Drones that the Kremlin said were launched by Ukraine flew deep inside Russian territory, including one that got within 100 kilometers (60 miles) of Moscow, signaling breaches in Russian defenses as President...
  7. JamiiForums Tanzania Tambua Dalili 9 Za Wazi, Unaelekea Kufanywa Rafiki Tu Na Mwanamke. (Epuka Friendzone)

    Urafiki na mwanamke unayemtaka kimapenzi sio mzuri. Aitha utaishia kuchunwa au kuumizwa. Huwa inauma pale unamfikiria mwanamke kimapenzi lakini anaishia kukufikiria kama rafiki au ndugu. Japo unaweza kuambiwa kuwa ili umpate anza kuwa rafiki yake kwanza, lakini je, hilo ndo lengo lako? Mwanamke...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Abdala kichwa wazi anataka kuniabisha

    Wakuu. Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi moja reception iko na sura ya kukidhi. Sasa jana nimelala, ile pisi ikawa haipo, leo imekuja basi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mazoezi ya timu ya Simba yako wazi sana?

    Kwa nini mazoezi ya simba yapo wazi sana kila mtu anafika na kuona tunachofanya. Why viongozi hawalioni hili?
  12. JamiiForums Tanzania Mo Dewji aweke wazi Bilioni 20 au aiache Simba yetu. Inauma sana Simba Ile iliyoogopeka na Al Ahly leo kila timu inajipigia

    Mimi mi Shabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club!. Kinachoendelea Kwa huyu Bwana Mo, ni uhuni, wizi , na ujanja ujanja wa kijinga sana ambao Sisi wanasimba ndio tunaulea. Daktari Kigwangala, alivyohoji suala la Bilion 20, mamuluki walikuja mbele kumpondea Sanaa , lakini ukweli ni kwamba...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

    Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo. Ila linapokuja suala la watoto...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mapokezi ya Alhad Musa Salum yazua Taharuki, Waislam Wamwandikia barua Mufti

    Barua ya Wazi Assalaam Alaykum, Sheikh Mkuu, Mufti wetu wa Tanzania, nimeguswa kukuandikia barua hii ya wazi ama kwa kuhoji na kutaka ufafanuzi, ama kwa kushangazwa na nilichokiona. Kama nilivyoshangazwa, nimefuatilia kwa ndugu zetu wengi katika imani, ama kwa hakika, tukio ninalolileta kwako...
  15. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Samia Suluhu; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB)

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB). Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia yake ilimponza akaharibu meeting

    Habari za muda huu wakuu? Ninaimani mnaendelea poa, lakini poleni kwa wale mnaokabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo 'Kiafya' na nina imani mtarejea katika utimamu. Wakuu, katika kuhakikisha tunapashana na kupeana yale yanayoweza kutuongezea elimu na kutusogeza mbele, leo nashuka na uzi huu...
  17. JamiiForums Tanzania Casemiro aweka wazi jinsi ambavyo jina lake limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa miaka mingi

    Jina la kiungo wa Man United, Casemiro limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa muda mrefu, lakini mchezaji mwenyewe ameacha iwe hivyo akiamini kukosewa kwa jina kunamfanya acheze vizuri uwanjani. Anasema “Nilipoanza kucheza soka Sao Paulo, kuna mechi walikosea kuandika jina langu kwenye jezi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Biblia imeandika wazi ya Mungu mpe Mungu na Kaisairi muachie kaisari. Katiba mpya itashusha bei ya vyakula kwa kuwajibisha viongozi

    Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa. Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa. Wewe umeacha kazi ya Mungu umekuwa tapeli wa kisiasa. Wananchi jimboni kwako watakutimua kama mbwa hata kabla ya uchaguzi...
  19. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa mhanga au mhusika wa blackmail, Kulazimishwa kumpa anachotaka mtu ambae ana Ushahidi wa kitu ulichofanya ambacho hutaki kiwekwe wazi

    Mwanzo huwa ni vitisho na kupewa presha juu ya balaa utalokutana nalo wakiweka mambo wazi, kinachofuata huwa ni utiifu wa kutenda wanayotaka, baada ya hapo ule muendelezo wa kutii kila mara mhanga anaanza kuchoka na hata anaetoa amri kuhisi anapata kidogo inabidi apewe zaidi. mifano...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…