Mo Dewji aweke wazi Bilioni 20 au aiache Simba yetu. Inauma sana Simba Ile iliyoogopeka na Al Ahly leo kila timu inajipigia

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,054
71,347
Mimi mi Shabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club!.

Kinachoendelea Kwa huyu Bwana Mo, ni uhuni, wizi , na ujanja ujanja wa kijinga sana ambao Sisi wanasimba ndio tunaulea.

Daktari Kigwangala, alivyohoji suala la Bilion 20, mamuluki walikuja mbele kumpondea Sanaa , lakini ukweli ni kwamba, Mo Dewj anajifanya Simba iendelee kua Simba ya Kizaman.

Jambo ambalo wengi hamlijui, Simba Ile ya misimu ya nyuma tulipokua tunatisha sana, ni Kwa sababu ya Mkono mkubwa na mchango mkubwa aloufanya Aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar, Kijana Machachari ,PAUL MAKONDA

Mo Dewj, ni muhuni tuu, Utajiri wake ni Familia yake, Toka lini Muhindi akatoa Hela kuendesha Club?

SIMBA NI KUBWA SANA, SIMBA NI TIMU AMBAYO HAIWEZI KUKOSWA MMILIKI WA MAANA , SIMBA SASA YAPASWA IENDESHWE KIBIASHARA NA SIO BLAA BLAAH.

Kama Mo Dewj, hawez kuweka Bilion 20, aiache Simba, hatuwezi kukosa MMILIKI WA MAANA

Tazamen YANGA, Hawa hawatumii uchawi Wala nini, ni Uwekezaji, ni boliii ndo linapigwa na wachezaji toleo la kwanza.

Sio Simba, Simba hiii inashindwa kumnunua Manzoki? Mtazamen Mayele, Mayele utamlinganisha na mchezaji gan pale Simba??. JAMAA LINA NGUVU, SPEED, NA SKILLS ZA KUTOSHA na sio Mayele tu, tazama Safu ya ushambuliaji ya Yanga, Imeiva, Ina watu , ni seme wanapeleke moto kwelikweli !!.

Sasa Leo Simba, inategemea Boko?? Balekhe? KwelI?? Mambo ya ovyooooo ovyoooo ovyoooo kabisa !!.

Kwa Simba hiii hata Vipers watatufanya kitu mbaya, tusijipe Moyo na Imani za kipuuzi Et ohoooo point 6 za vipers n.k, ni upuuuzi, Kwan hata wao Vipers WANAWAZA hivohivo .

Namuonea huruma sana ROBERTINHO , Konya mzuri sana ,lkn amekutana na timj ya kisengee mnoo, matokeo yake lawama tunataka kumpa Kocha ?? Mambo ya ajabu sana.

Hata makundi kwenyewe, tumeingia Kwa kusua sua tuuu , hatuna timu ya kuiamini.

Hongera sana GSM, Hongera Yanga.

Mo Dewj, Kama Boli limekushinda, tuachie Timu. BAKI NA LIGI YAKO YA NGUMI.

WEWE MO DEWJ, KILA KITU UNATAKA??? BAKI NA NGUMI, TUACHIE SIMBA !!.
 
Mimi mi Shabiki na Mwanachama wa Simba Sports Club!.

Kinachoendelea Kwa huyu Bwana Mo, ni uhuni, wizi , na ujanja ujanja wa kijinga sana ambao Sisi wanasimba ndio tunaulea.

Daktari Kigwangala, alivyohoji suala la Bilion 20, mamuluki walikuja mbele kumpondea Sanaa , lakini ukweli ni kwamba, Mo Dewj anajifanya Simba iendelee kua Simba ya Kizaman.

Jambo ambalo wengi hamlijui, Simba Ile ya misimu ya nyuma tulipokua tunatisha sana, ni Kwa sababu ya Mkono mkubwa na mchango mkubwa aloufanya Aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar, Kijana Machachari ,PAUL MAKONDA .

Mo Dewj, ni muhuni tuu, Utajiri wake ni Familia yake, Toka lini Muhindi akatoa Hela kuendesha Club??

SIMBA NI KUBWA SANA, SIMBA NI TIMU AMBAYO HAIWEZI KUKOSWA MMILIKI WA MAANA , SIMBA SASA YAPASWA IENDESHWE KIBIASHARA NA SIO BLAA BLAAH .

Kama Mo Dewj, hawez kuweka Bilion 20, aiache Simba, hatuwezi kukosa MMILIKI WA MAANA .

Tazamen YANGA, Hawa hawatumii uchawi Wala nini, ni Uwekezaji, ni boliii ndo linapigwa na wachezaji toleo la kwanza.

Sio Simba, Simba hiii inashindwa kumnunua Manzoki?? Mtazamen Mayele, Mayele utamlinganisha na mchezaji gan pale Simba??. JAMAA LINA NGUVU, SPEED, NA SKILLS ZA KUTOSHA na sio Mayele tu, tazama Safu ya ushambuliaji ya Yanga, Imeiva, Ina watu , ni seme wanapeleke moto kwelikweli !!.

Sasa Leo Simba, inategemea Boko?? Balekhe ?? KwelI?? Mambo ya ovyooooo ovyoooo ovyoooo kabisa !!.

Kwa Simba hiii hata Vipers watatufanya kitu mbaya, tusijipe Moyo na Imani za kipuuzi Et ohoooo point 6 za vipers n.k, ni upuuuzi, Kwan hata wao Vipers WANAWAZA hivohivo .

Namuonea huruma sana ROBERTINHO , Konya mzuri sana ,lkn amekutana na timj ya kisengee mnoo, matokeo yake lawama tunataka kumpa Kocha ?? Mambo ya ajabu sana.

Hata makundi kwenyewe, tumeingia Kwa kusua sua tuuu , hatuna timu ya kuiamini.

Hongera sana GSM, Hongera Yanga.

Mo Dewj, Kama Boli limekushinda, tuachie Timu .. BAKI NA LIGI YAKO YA NGUMI .

WEWE MO DEWJ, KILA KITU UNATAKA??? BAKI NA NGUMI , TUACHIE SIMBA !!.
Mayele Leo hii hafanani na Chama wala phiri? Asee usitusumbue, kalale.
 
Wewe mjinga sana, Kwan Mashabiki na wanachama wa Yanga, wao wamechangia shingapi??.

Wee Mwehu nini !!.

Kama hawez ,Si ajitoe?? Hela yake aendeshee biashara n.k ??.

Yaan kwakua Ni bahili, Hela yake inamambo mengi, ndio na Simba, iwe timu hoehoe ??

Mjinga Mmoja weee
We umeichangia Simba sh ngapi tangu kuifahamu hiyo Simba ??

Hatuitaji watu wajinga mnaolalamika kwa Mambo ambayo hamjui yanaendeshwaje? Simba kabla ya Mo ilikuaje? Je ilikuwa na ao wachezaji wenye ubora unaowataka?

Upumbavu unawasumbua wewe ununua jezi tu ya elfu 15 ndo unamletea muwekezaji masharti hamjitambui watz
 
Alafu nahisi umelewa pombe Muda huu unaanza kupost thread wewe unazungumzia habari za bil 20 wakati hauna kitu mfukoni , vijana pombe hizi usiku huu wote huu
 
We umeichangia Simba sh ngapi tangu kuifahamu hiyo Simba ??

Hatuitaji watu wajinga mnaolalamika kwa Mambo ambayo hamjui yanaendeshwaje? Simba kabla ya Mo ilikuaje? Je ilikuwa na ao wachezaji wenye ubora unaowataka?

Upumbavu unawasumbua wewe ununua jezi tu ya elfu 15 ndo unamletea muwekezaji masharti hamjitambui watz

Kichwa lako umejaza Tope japo kwambali unataka kujionyesha wee ni mtu ila Kwa ukaribu kweli kabisa wewe sio Mtu.

Unahoji Simba kabla ya Mo , Je Uwekezaji wetu wa mpira na mazingira ya mpira kama Taifa Kwa ujumla yalikuaje kipindi hiko?.

Maendeleo ya Mpira Kwa ngazi ya Vilabu ni sawa na mtoto . Anayeanza Kwa kutambaa asimame, atembee akimbiee.

Sawa Mo Dewj Kwa kiasi chake kajitahidi kuinua Simba, lakini Sasa mazingira ya Leo hii, maendeleo ya Leo hii kimpira hapa Nchini, Afrika na Duniani kote....... Ni kwamba Hamna haja ya Yeye kama Mwekezaji Mkuu kuona haja ya kufanya maboresho ili kupendana na ushindani wa kisoka?? Na kama anaona ni gharama, ni kwamba haoni haja ya kusema ,Sasa Simba nimeinawa, Tukaribishe Mwekezaji ??.

Wewe Mpuuzi, unahisi Mo Dewj ndo Mwekezaji pekee ambaye anaweza kuivusha Simba??.

Yaan Timu iendelee kupitia misukosulo kwenye Dunia ambayo Sasa Soka ni Uwekezaji , Et kisa, Mo Dewj kaitoa mbali??.

Hayo ni mawazo ya kipumbavu , kitahira!!

Ni kweli kabisa, Mchango wangu ni Ada na pamoja na ununuzi wa jezi ya timu yangu.

Wewe umechangua nini?.
 
Back
Top Bottom