wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

    Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG. Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkulima aweka wazi hawahofii mafisadi wa CAG aliowaburuza kortini

    MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba kama Bunge lilivyoamua.
  3. JamiiForums Tanzania Mchakato wa Twiga Cement Kuinunua Tanga Cement Uwekwe Wazi ili Kuondoa Malalamiko

    MHE. TIMOTHE MNZAVA - MCHAKATO WA TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT UWEKWE WAZI KUONDOA MALALAMIKO Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Paul Mnzava leo Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara amesema Mchakato wa Kampuni ya Twiga Cement...
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Jokofu likiachwa milango wazi huku limewashwa halidumu kwa muda mrefu

    Hivi ni kweli kuwa jokofu likiwa 'switched on' huku milango yake ikiwa wazi, hupelekea kuharibika ndani ya muda mfupi wa matumizi?
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ifike Mahala ajira zote serikalini zitangazwe wazi wazi kama wafanyavyo za ualimu

    Toka nijitambue sijawahi kusoma gazetini au mtandaoni au pahala popote ajira nyeti kama bandarini, TRA, Ustawi wa jamii, tourism, madini,maliasiri nk.. Mara nyingi naskia tu walimu na afya.. na Kwa mbali majeshini.. Sijawahi elewa hawa wafanyakazi wengine wa kada zingine wanapatikanaje....
  8. JamiiForums Tanzania Yanga mechi ya marudiano hangaikeni na nafasi za wazi walizopoteza Rivers.

    Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu. Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wazi kwamba CCM imeanza mikakati ya kutafuta fedha za kampeni

    Kumeanza kuibuka wimbi la utolewaji wa ripoti za fedha za miradi ambazo zimekuwa na mashaka makubwa sana na hasa zinaumiza walipa kodi, kuna harufu ya rushwa na ibadhirifu mkubwa tu tena kwa miradi ambayo haina msingi sana. Mfano bajeti ya ukarabati tu wa ofisi ya makamu wa rais ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Hongereni kwa Kumfunga Rivers United FC, ila na hili la Bernard Morisson liwekeni wazi msifiche

    Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa za intelijensia zilizovuja yaweka wazi uhusika wa Marekani katika suala la Ukraine

    Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa, nyaraka kadhaa za jeshi la Marekani zimevujishwa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwa na taarifa kamili kama vile ramani ya Ukraine na sehemu ambazo askari wake wako na aina ya silaha walizonazo. Moja ya nyaraka hizo imeandikwa “Siri Kuu” na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

    Pole na majukumu Ndugu Waziri, nina machache ya kukushauri juu ya suala la ajira za walimu; Rejea enzi za Ummy Mwalimu, alichukua wahitimu wa 2012, 2013, 2014, na 2015 akapeleka wote primary hakukuwa na shida. ~ Chukua wahitimu wote wa 2015 peleka primary ili upunguze kelele.
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Serikali kufichwa na kutelekezwa mitaani ni wizi wazi wazi

    Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba. Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tusisahau ripoti ya CAG imekuwa wazi kwasababu ya maelekezo ya Rais

    Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gesti / Loji ambazo zipo / zitakuwa Wazi leo kwani za huku nilipo kwa 100% zote zimeshajaa hadi Easter Monday

    Kama utabahatika kupitapita huko uliko (Eneo lako Kimakazi) na ukaona kuna Guest au Lodge ziko wazi tafadhali nijulishe haraka GENTAMYCINE kwa Kunitajia Jina na iliko ili nimpeleke Mgeni wangu katoka Safarini nchini Somalia akapumzike. Za huku niliko tokea Ijumaa Kuu hadi Kesho Easter Monday...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

    Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM. Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya wazi Mbweni yaanza kuvamiwa na vigogo

    Kama tunavyokumbuka serikali ilifanya zoezi la upimaji wa viwanja maarufu kama 20,000. Zoezi lilienda vizuri na upimaji ulifanyika vizuri kwa kuacha baadhi ya maeneo kuwa ya wazi kama ilivyo katika miji na majiji mengine ulimwenguni. Kuna eneo moja Mbweni karibu na kituo cha polisi liliachwa...
  20. JamiiForums Tanzania Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…