Hongereni kwa Kumfunga Rivers United FC, ila na hili la Bernard Morisson liwekeni wazi msifiche

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania baada ya Kugundulika akiwa anawasiliana kwa Simu na Wachezaji Wawili Raia wa Kwao Ghana na huku akiwa Amebeti na Kuiua mazima Yanga SC yake inayomuweka Mjini.

Nyie Mchezaji ameshindikana katika Klabu ya Wasomi na Matajiri ya Simba SC iliyokuwa ikimpa kila Kitu nyie Wafuga Vyura na Njaa Njaa FC ndiyo mtamuweza?

Wenye Akili tulijua tu kuwa hamtowezana nae ila mkajitutumua Kumsajili ili kutukomoa Simba SC haya leo kipo wapi?

Na tunajua kuwa Bernard Morisson hakuwa Chaguo la Kocha Nabi na ndiyo maana hampi Nafasi na kila Siku tu Wanagombana huko Kambini Kwenu Avic Town ila mnajifanya Kuficha wakati Wafukunyuku wa Mambo ( Masuala Mtambuka) akina GENTAMYCINE tunajua kila Kitu ila huwa tunaamua Kuwapuuzeni tu.
 
Back
Top Bottom