wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna wazee wa hovyo hivi hapa Duniani

    Wakuu nisiwachoshe, tusichoshane hii ID mwanzoni nilikuwa najiita binti sayunii, nimechange juzi tu hapo. Sasa ile thread nilileta kuhusu mbaba wa miaka 46 anataka kunioa, nimekuja kujua ni usanii mkubwa sana, alitaka kunifanyia, kama hawa vijana wa hovyo. Mwanzoni aliniambia yuko tayari...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

    Hili liko wazi kabisa. Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha. Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi. Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda...
  3. JamiiForums Tanzania Zesheni ndio Nini wazee wenzangu?

    Hili neno limeenea Kila mahali sijui Lina maana Gani?
  4. JamiiForums Tanzania Wazee wa katuni za channel 10 miaka ya 2009-13 TUKUTANE

    Salamu wakuu leo nimeweka chaneli ya boing na cartoon network, nimekumbuka mbali sana show za: ben 10, chowder, adventure time, code lyoko na superman(zilikuwa Itv), amazing world of gumball, Angelo rules, scooby doo, the grim adventures of billy and mandy(billy chizi😂), young justice, green...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Au huenda Mungu nae wa mchongo wazee!!!!

    Hivi, mpaka lile taifa la mchoongo(linalojiita teule) Mungu wao hakujua wateule wake wanaenda kukosa makazi! Na wengine kupukutika(japo kwa akili za wenzetu tunajua Makombola ya Iran yanashusha tu mijengo hayaui!!! Mbali na hilo, akaamua wateule wake wawe wanakimbilia mashimoni kama panya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu

    Wazee kuna watu wanaofanya kazi mbulu TC humu..au yeyote yule mkazi wa mbulu
  7. JamiiForums Tanzania Wazee wa Chama Mpo Wapi? Mfundisheni Mama Aache Siasa za Rafu, Taifa Halichezewi Hivyo!

    Katika kila jamii yenye uongozi wa kisiasa, kuna wakati ambapo busara za wazee wa chama huzidi kuwa na thamani kuliko mbinu za kisasa za kisiasa zinazokosa maadili. Hili ni wito mahsusi kwa wazee wa chama—wale waliobeba misingi ya harakati na falsafa ya uongozi wa kizalendo. Swali langu ni moja...
  8. JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya. Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tamko la Tume ya Haki za Binadamu (THBUB) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wazee Juni 15, 2025

    THBUB inaungama na Wadau wote katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani. Tamko la Tume Haki Binadamu (THBUB) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wazee Juni 15, 2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote katika kuadhimisha Siku ya Wazee...
  11. JamiiForums Tanzania Wazee wa Toyota easy to maintain. Mmeona kiwanda chenu vingunguti? Spare fake kibao

    Wananzengo habari, Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original. Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
  12. JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuandamana kwaajili ya kuleta mabadiliko? Zipi mbinu bora kwenye kukamilisha hili?

    Iwe isiwe Tanzania viongozi hawatotusikiliza bila sisi kuingia barabarani na kuwawajibisha na hii ndio njia pekee kiongozi wa Africa anakusikiliza. Ila mpaka sasa hatuna mbinu za kufanikisha hili. Huu mwaka tusikubali uishe kizembe aisee Kama sio Leo Ni lini. No Reforms, No Election.
  13. JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM tumewachoka Sasa! Rudisheni nchi yetu kwa Vijana

    Matatizo yote ya Taifa letu mmesababisha nyie wazee. Mlisoma bure mpaka chuo kikuu Leo mnawanyima vijana mikopo. Mlipewa ajira bure bila interview au pesa Leo mnawanyima ajira vijana na kuwapa ajira kwa rushwa. Mmewageuza vijana machawa kwa ulafi wenu wa madaraka. Vijana ndio waanga wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wazee wanaoanzia miaka 55 kuendelea

    USHAURI KWA WAZEE WANAOANZIA MIAKA 55 KUENDELEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kwa heshima na uangalifu Mkubwa nianze kwa kuwapa Shikamoo. Kwenu nitakuwa muangalifu wa kutupa maneno yangu huku kwa sehemu kubwa nikiacha akiba kubwa ya maneno. Niwapongeze kwa Mafanikio makubwa ya kufikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  16. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Burkinabe wazee wote umeme na maji bure

    Ouagadougou, Burkina Faso – Serikali ya Burkina Faso Chini ya Rais Ibrahim Traore imetangaza kuwa wazee hawatalazimika tena kulipia huduma za umeme na maji. Tangazo hilo limetolewa na Kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traore, ambaye amesema kuwa huduma hizo zitakuwa bure kwa wazee wote...
  17. JamiiForums Tanzania Nimemeliza ligi hivi ..Kwa wazee wa mikeka ....

    Kwa kuomba Kipindi Cha pili ya lipatikane goli na yasivuke matatu.... Woooi .... Angali mechi ya Marseille ..alipata 3 ... Nakaza mbupu ..mechi ya Lugodorets..mechi ya Rakow ...mechi ya Marseille mechi 27 ..nimeomba kipindi Cha pili lipatikane goli lakini yasivuke matatu.. mechi ya le Havre...
  18. JamiiForums Tanzania Integensia za wazee wetu zilizokuwa zikisaidia familia na jamii zetu hapo kale!

    Mama zetu walikuwa atleast kila wiki lazima watulishe makande, yaliyowekwa magadi ya kienyeji, wakiyaombea kwa siri yaende kuwaondoshea wanawe mokosi, kijicho na bahati mbaya, na ilibidi wapike chakula kigumu, chenye kuhitaji magadi ya kienyeji kwa makusudi, #Tutiririshe intelegensia mbali...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Huu Mtego Unaozidi Kutafuna HELA za Vijana Wengi .... Hadi Mafao ya Wazee Wetu Hayajasalimika Kwenye huu Mtego

    Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini . Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes) . Ponzi scheme Nini utauliza?? . Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo, . hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wale wazee "tutashitakiwa MIGA" walipotelea wapi?

    Huko bungeni Ulaya leo kutawaka moto. Kitini hawatakuwapo Tulia wa Zungu, wala mama yake na taarifa. Wapenda haki wameshafanya vitu vyao: Siyo Bora tungeshtakiwa MIGA? Hivi wale wazee wa kushtakiwa MIGA waliishia wapi? Tuwakumbuke wazee wa kushtakiwa MIGA: Etwege Elitwege Chillah Maswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…