wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Samia hataki maridhiano

    Siamini nachoona na kusikia Huyu anataka maridhiano kweli ?
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wampongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa

    Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Mzee Matimbwa akizungumza katika...
  5. JamiiForums Tanzania M/Kiti Baraza la Wazee DSM: Sisi tunatambua kampeni za uchaguzi na upigaji kura vilienda vizuri sana.

  6. JamiiForums Tanzania Hawa vijana wanafanya nini kwenye mkutano wa wazee? Na mbona inaonekana wako wengi!

  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

    Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025. Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yanayojiri kati ya Rais Samia na wazee wa Dar es S alaam

    Guys! Naombeni kujuzwa yale yote yatakayo jiri katika mkutano huo wa leo tar 02/12/2025. Sababu ni ubize wa majukumu ahsanteni.🙏
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Wazee wa Dar es Salaam wataweza kupunguza juhudi ya Gen-Z kuelekea D09?

    Je, maagizo yatakayotolewa leo kwa wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakazungumze na watoto wao na wajukuu wao waachane na D9, ya Kwamba wanatumika vibaya na kulipwa mabeberu, njia hii itasaidia maandamano yaliyoandaliwa D9 kutofanyika??? Pili, kwa wale watakaoshiriki maaandamano hayo, ataagiza...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee

    Samia anaongea na wazee kwamba wazee ndio wamshauri yeye au yeye ndio anaenda kushauri wazee.
  11. JamiiForums Tanzania Tume ya wazee, na kikao na wazee Leo Ili uhutubie taifa, vijana tunanuka kinyesi?

    Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi? Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyemshauri Samia leo kuongea na Wazee wa Dar kakosea sana

    Samia anakuja kuongeza hasira za vijana kuandamana badala ya kuja kuponya majeraha. Najua atasema, vijana walilipwa, akijua anawatetea kumbe ni dharau kwao kuwa hawana akili ya kuamua mustakabali wa maisha yao hadi walipwe. Atasema, walioandamana hawakuwa watanzania, wakati waliokamatwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mjadala wa maandamano ya Disemba 9 wajadiliwa hadi bar. Vijana kwa wazee waja juu

    Shuhudia Wananchi Jijini Dar es salaam wakipinga kwa umoja kushiriki maandamano yanayotajwa kupangwa Disemba 9 mwaka huu na kama inavyosambazwa hapa mitandaoni ambapo tunashuhudia viasharia kulingana na waratibu kusambaza taarifa hizo baada ya kile kilichotokea Oktoba 29 .2025 Wakiwa kwenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  16. JamiiForums Tanzania Mawaziri wameamua kuwa masikini kama Wazee wa Kwa Tandale

    Inashangaza sana mawaziri wetu wameamua kuwa masikini, wanakili hawanakitu. Huu uongo ni mbaya kuliko mambo yote muliowahi kufanya huko nyumba. Afu kwa bahati mbaya, kwa Sasa kila kitu kiko kwenye mtandao. Ni maadili ya kazi tu ndio yanafanya watu wasilete nyaraka. Ila unaumiza sana...
  17. JamiiForums Tanzania Napenda sana makalio ya wadada. Naombeni mnisaidie nitapotea

    Wazee napenda sana makalio ya wadada hili tatizo kitaalam linaitwaje? Yani hata manzi awe na sura kama kifaru mradi tu ana boflo nitafanya juu chini kwa gharama yoyote nimuweke kifuniko cha asali pembeni alafu nianze kurina asali.... Huwa sipendi kutoa kifuniko chote ndo nianze kurina...
  18. JamiiForums Tanzania Leo wazee wa kazi nimewaona Segerea na wako full combat na bunduki juu je kuna nn?

    Wakuu leo mda siyo mrefu wazee wa kazi wapo mtaani kwetu wako full commbat sijui kuna ishu gani aisee nauliza tuu
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

    Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza.. Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali 10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Padre Kessy: Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe

    Padre Prosper Kessy (OFM Cap) kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha video akieleza ni kwa namna gani mtu mjinga anapenda kumshauri mtu mwenye hekima. "Mtu mjinga akikaa kimya katikati ya watu wenye hekima na yeye huoenekana ana hekima, lakini akifungua mdomo tu amejitambulisha mwenyewe".
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…