wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwanini Wazee wengi ambao walipata kuwa Maarufu na Matajiri nchini wakioa tu Wanawake wa 30's huugua na Kufa haraka?

    Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
  2. Wazee wa Simba wamechoka

    Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi. Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango...
  3. Wazee wa kuopoa mkishalewa halafu asubuhi mnajutia, hebu tueleze ulijutia nini?

    Mimi nilikuwa nimelewa basi kichwa kidogo hakikutaka mapumziko kabisa kila dakika network inasoma basi katika kupepesa macho na macho yakaona kilicho dhaniwa ni lulu kumb ni limao Basi mazingira yakawekwa vizuri kwenda kupumzishwa vichwa vyote Baada ya mapambazuko ya alfajiri nilijutaaa kabisa...
  4. Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi? Raha...
  5. Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli na kufanikiwa kujipatia mamilioni ya fedha kutoka kwa walimu kwa njia ya udanganyifu. Aidha...
  6. J

    Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
  7. Ni route ipi rahisi kutoka Mwanza kwenda Ruvuma?

    Kwema wakuu, Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni route ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko? Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza. Shukrani!
  8. Mkenya achuma hela Ulaya kwa kugema pombe ya kienyeji

    Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$ Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK MURATINA A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced...
  9. Wale wazee wa BOXING (Dynamite Vs Joe Royce)nani mshindi leo

    ---- FUTA NYUZI HII ...... Moderator
  10. Kilichoiponza CHADEMA ni kutosikiliza maoni ya wazee kama Lyatonga Mrema

    Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao. Mzee Lyatonga Mrema aliwaonya wapinzani msio na busara hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa JPM anatimiza yale ambayo...
  11. B

    Hawa hapa wazee walioshindwa kudumu kwenye mfumo wa siasa na sasa wanapelekwa mfumo unavyotaka

    1. Edward Lowassa - alikuwa na nguvu CCM , akawa na nguvu upinzani huku akihesabika Kama shujaa wa mabadiliko. Hakudumu kwenye huo ushujaa akakubali kurudi CCM hadhi yake ikaporomoka na sasa anafanya watu wanayotaka siyo yeye anayotaka. Kisiasa hana Tena ushawishi, anazeeka akiwa amepotea kwenye...
  12. R

    Developers !! Wazee wa code tukutane hapa GRAPHICAL USER INTERFACE DESIGN

    Habaran wana jamii leo nimekuja hapa tujifunze jinsi ya kutengeneza GUI apps Naomben kujua ni application gan nzur kwa kudesign GUI Tayar nkmeshasoma programming language zote C.C++.PYTHON.java. my sql .HTML .php .c# Ila sasa nataka nijue kutengeneza GUI maswali yangu ni haya. 1.je kila...
  13. GE2020 Tandahimba: Tutawahudumia wazee waliolitumikia taifa letu

    TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF.LIPUMBA" TANDAHIMBA Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha. Hatua kwa...
  14. GE2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
  15. Mbaroni kwa kuua wazee wawili Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linawashikilia Rajabu Ramadhani (26), Athumani Ramadhani (21) na Daniel William (49) kwa tuhuma za mauaji ya Bernadetha Kibwana (60( na Zabibu Maulidi(59) Tukio la mauaji limetokea majira ya saa kumi na moja alfajiri Oktoba 15, Mafisa kwa Mambi kata ya Mafisa...
  16. Nimeamini Kuna wazee wengine wana ukoloni na roho mbaya sana

    Salaam wakuu, Nina hadithi ya kweli ningependa ku share nanyi. Ni kitu nimekishuhudia kwa macho yangu na kimetokea kuniumiza sana roho !!! Sumtyms huwa nikiwaza nakosaga na majibu kabsa. Ule usemi " Sio kila king'aacho ni dhahabu " ni ukweli kabisa na nime prove kwamba wakat mwngne kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…