wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazee wa Kataa ndoa na kitabu cha The Manipulated Manby Esther Vilar (1971) wamenifikirisha Sana

    Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho ' The Manipulated Man by Esther Vilar (1971)' Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi anasema mwanaume anazaliwa na kufundishwa au kufunzwa kuwa mtumwa wa mwanamke maisha yake yote...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

    Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi. Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh. Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi viongozi na wazee wa simba wamuomba Mohamed dewji abaki asiondoke kama mwekezaji

    Ni tetesi sio habari ya uhakika Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz...
  4. JamiiForums Tanzania Wazee wa Jumuiya ya Ahmadiyya wakutana Dar kujadili changamoto za maadili na amani

    Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wamekutana Nchini Tanzani katika Semina ya siku mbili (Aprili 20 na 21, 2024) Nchini Tanzania na kushirikisha washiriki 120 kutoka Nchi 15. Semina hiyo imefanyia Jijini Dar es Salaam na mada kubwa iliyowakutanisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wazee wa kupiga deki

  6. JamiiForums Tanzania Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Wasalaaaaaam........ Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa. Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
  7. JamiiForums Tanzania Wazee wa kimila, tunaweza kumroga refa wa jana na timu nzima ya VAR?

    Inawezekana kuwashusha busha na kupiga chata ya Yanga kwenye busha?
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wa Horror Movies: Trauma 2017

    Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017. Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata. Bwana si wakavamiwa na mtu na baba ake, wakiwa na siraha. Wakarape, piga brutally, hadi wanakula nyama zao wakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee mnazingua

    Unakuta mtu unaandika Bandiko la kusherehekea siku yako ya kuzaliwa kwenye Jukwaa, halafu ukasema umezaliwaa mwaka fulani basi watatokea Vikongwe na kuanza kusema kumbe humu tunarumbana na Vitoto. Naomba mjue kuwa mnatukosea sana sisi wajukuu zenu. Ushauri - Wazee tunawaomba muwe na hekima...
  10. JamiiForums Tanzania Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  11. JamiiForums Tanzania Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

    Twende nami taratibu. Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎 1. Oprah Winfrey Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi. Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa. Huyu...
  12. JamiiForums Tanzania MJADALA: Tukutane hapa wale wazee wa kunyakua pisi mpya mpya zikitua tu maeneo iwe kazini, bar au mtaani. Mbinu, uzoefu, changamoto na tahadhali.

    Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind" Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya tukutane hapa. Hii inawahusu wale wanaume ambao sisi ili kujiona kwamba ndio wafalme wa zizi/kundi...
  13. JamiiForums Tanzania Wazee wa mipango nipo juu ya mawe, sielewi nishukie wapi

    Wasalaaaam waungwanaaa, nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Hivi sisi wazee wa mitungi ni vipiii? Wazee kama nilivyosema hapa niko juu ya mawe sielewi. Hii ni baada ya kupiga mtungi heavy jana. Sasa leo nimejikuta nimeamka na elf kumi na tano tu, naona hamjanielewa, yaani 15,000/= tu...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati. Amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Hii timu mbona kama wazee, wanagawaje dozi?

    Kwenye ligi yao wameshindikana ila kama wote wazee!
  16. JamiiForums Tanzania Ni breed ipi ya mbwa ndio ndoto yako ya kuwa naye nyumbani?

    Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE" Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
  17. JamiiForums Tanzania Wale wazee wa Tegeta vibanda umiza mnamkumbuka huyu mwamba kiingilio sh 10

  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo Aiomba Serikali Kuwalipa Wazee Wastaafu wa NARCO Mbarali

    "Je, lini Serikali itawalipa mafao wastaafu wa shamba la Kapunga Wilayani Mbarali lililokuwa linamilikuwa na NARCO? - Mhe. Bahati Ndingo, Mbunge wa Jimbo la Mbarali "Wakati wa ubinafsishaji kati ya mwaka 2003 na 2004 Serikali ililipa mafao ya wastaafu wote wa shamba la Kapunga isipokuwa mafao...
  19. JamiiForums Tanzania Wazee mnaokaribia kustaafu jipumzisheni basi na hekaheka za kikazi

    Unakuta mzee kabakisha miaka miwili au mmoja astaafu anaanza kuwa na hofu ya maisha baada ya kustaafu ile hali inampelekea awe katili sana linapoluja suala la pesa.Kila safari inayokuja analazimisha ahusike hata activities ambazo zinapendeza aachie Vijana anang’ang’ania.Sio vizuri kwa kweli...
  20. JamiiForums Tanzania Mnatumia viungo gani kulainisha hii mboga wazee?

    Mimi huwa napendelea karanga.. sijui nyie😅😅
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…