wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Republicans haialiki wazee wa chama chao kama CCM?

    Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau kutajwa tu katika mkutano wao mkuu wa chama?
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanayanga wenzangu mimi nipo pamoja na wazee wetu, tuwaunge mkono

    Mimi kama Mwanayanga lia lia naunga mkono hatua ya mahakama tutengua uongozi uliopo kwenye club yetu. Kwani haukuzingatia katiba yetu. Wazee wameupiga mwingi tuwapongeze, tusiwabeze, kwani wanateta maslahi ya club yetu, uongozi uliopo ni wakijanja janja tuukatae. Kesho asubuhi na mapema...
  3. Soul21

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  4. S

    JamiiForums Tanzania hii ni moja ya biashara yenye faida ndogo mno

    .
  5. koba lee

    JamiiForums Tanzania Wazee wa old skul bongo fleva,mnaukumbuka huu?

    Noma sana
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukihudhuria harusi au sherehe utagundua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nchini

    Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa. Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao...
  7. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  8. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee 15 Juni, 2024

    Wasaalam wanajukwaa wote. Wito kwenu tuungane wote kuwatakia Wazee wetu kote nchini🇹🇿 HERI YA MAADHIMISHO ya Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee Leo 15 Juni, 2024. Kaulimbiu "Utu, Usalama na Ustawi ni nyenzo ya kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wazee". TUKUMBUSHANE wote...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiume tuacheni Ubaguzi pale Wazazi wetu wakiwa Wazee kwa kuamua Kumjali zaidi Mama na Baba zetu huwa tunawajali kwa 'Kubeti' tu

    Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

    “Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
  11. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Wazee naombeni ushauri

    Wazee mm kuna demu namkula ila ni mke wa mtuu lakini mumewe ni mzee wa 72 years sasa huyuu mazi ameniganda sanaa nifanyajee wakuuu
  12. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
  13. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  14. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
  15. True Believer

    JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Habarini wakuu, Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA. Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au...
  16. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania SoC04 Udhibiti wa Taarifa hasi katika jamii: Adhima kuifikia Tanzania yenye visa sifuri vya Ukatili kwa Wazee

    Idadi ya wazee Tanzania Kwa mujibu wa sensa ya 2022 Tanzania ina jumla ya wazee 7,469,714 chini ya mgawanyo wa wazee 7,294,654 Tanzania bara na 175,060 Tanzania Zanzibar,( Ripoti ya Mgawanyo wa Idadi ya watu kwa Umri na Jinsi Tanzania,2022,Wizara ya Fedha na Mipango). Jedwari: Mgawanyo wa wazee...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaenda wapi? Tunahitaji wazee wa busara waoga au vijana ambao hawaeleweki?

    Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
  18. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi Alia na haki za wazee Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi, amesema ukatiri dhidi ya wazee yakiwamo mauaji kwa baadhi ya mikoa,ni moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wazee hapa nchini. Kutokana na Hali hiyo, Profesa Ndakidemi ameishauri serikali kwa kushirikiana na viongozi wa dini pamoja...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nawakutanisha wazee wa kuchukua namba za simu fasta na kwa wingi ila hawamalizi mchezo. Tatizo lenu ni nini?

    Shalom, Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa? Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero. Karibu mseme changamoto zenu tuwasaidie. Nawasubiria kwenye comments Wadiz
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
Back
Top Bottom