wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine

    Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Kenya wauawa katika shambulizi linaloshukiwa kuwa la al-shabab

    Wanajeshi wa Kenya ni sehemu ya walinda amani wa wa AU nchini SomaliaImage caption: Wanajeshi wa Kenya ni sehemu ya walinda amani wa wa AU nchini Somalia Zaidi ya wanajeshi 10 wa Kenya wameuawa katika shambulio la kilipuzi kilchotegwa kando y abarabara kusini mwa Somalia. Wengine watano...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi Mali wauawa siku chache baada ya Ufaransa kutangaza kuondoa vikosi vyake

    Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali. Taarifa ya...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sudan: Idadi ya waliouawa na polisi wakati wa maandamano yafikia 80

    Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na mji pacha wa Omdurman siku ya Jumatatu. Kamati ya Madaktari wa Sudan inasema mwandamanaji huyo...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Watu wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo Njombe huku uchunguzi ukibainisha kuwa wameuawa na Mganga wa Jadi baada ya Watu hao waliokuwa Wateja wake kugundua dawa za kuwa Matajiri walizopewa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wakimbizi 50 wauawa Ituri, Congo

    Wakimbizi zaidi ya 50 wameuawa usiku wakuamkia leo Jumatano katika kijiji cha Ngujona wilayani Djugu katika mkoa wa Ituri. Yamefanyika wakati juhudi zinaendelea za kuwahamasisha waasi kuzisalimisha silaha zao Akizungumza na DW kwa njia ya simu, kiongozi wa utawala wa Bahema Badjere Jean-Richard...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

    Watu watano wa familia moja wameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amebainisha kuwa Jeshi hilo linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo. Chanzo: Radio One...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yakamata washukiwa wa ugaidi huku wengine 7 wakiuawa

    Uganda inasema kwamba washukiwa saba wameuwawa na wengine 106 wanashikiliwa kutokana na matukio ya kigaidi. Hayo yametokea wakati wa oparesheni iliyofanywa na vikosi vya usalama wakihusishwa na washukiwa watatu wa mabomu ya kujitoa muhanga katika mji mkuu Kampala wiki iliyopita, kwa mujibu wa...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Wafungwa 68 wauawa katika mapigano ya magenge hasimu

    Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni. Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi. Zaidi ya wafungwa 100...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Niger: Watu 69 wauawa katika shambulizo. Serikali yatangaza maombolezo ya siku mbili

    Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Takriban watu 20 wauawa baada ya watu wenye silaha kuvamia soko

    Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo Tangu Desemba 2020, ukanda wa Kaskazini magharibi mwa Nigeria umeshuhudia wimbi la matukio ya utekaji nyara wa Watoto...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtera: Wavuvi 12 wauawa na viboko kwa kipindi cha kuanzia Februari 2020 hadi Agosti 2021

    Wavuvi 12 wamepoteza maisha na wengine 15 kujeruhiwa katika kipindi cha mwezi wa pili 2020 hadi mwezi wa nane 2021 kufuatia matukio ya kuvamiwa na mnyama kiboko wakiwa ndani ya Bwawa hilo katika shughuli zao za uvuvi. Hayo yamezungumzwa katika Ziara Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo...
  15. Mkalibari

    JamiiForums Tanzania Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

    Habari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta. Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo. Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Watu 47 wauawa na waasi

    Wapiganaji wenye uhusiano na Al-Qaeda na ISIL wameua watu 47 ambao 14 kati yao ni wanajeshi. Mauaji hayo yametekelezwa baada ya wapiganaji kuvamia mji wa Arbinda. Hata hivyo wapiganaji wa serikali walifanikiwa kuwaua waasi 16 katika mapigano hayo. ===== In an attack near the northern town of...
  17. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wauawa Nzega, ng’ombe zachukuliwa

    Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021. Kamanda wa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu 38 wauawa na radi wakijipiga picha ‘selfies’ India

    Takriban watu 38 wamefariki dunia kwa kupigwa na radi ambapo 11 kati yao walikuwa wakipiga picha (Selfie) katika jengo la Kitalii la Amber Fort wakati mvua inanyesha Katika matukio mengine, watu 18 walifariki kwa radi huko Uttar Pradesh ambapo imeelezwa wengi wao ni Wakulima. Pia, Polisi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wapiganaji 18 wa Al-shabaab wauawa kwa amri ya mahakama

    Wapiganaji 18 wa Al-Shabaab ambao walihukumiwa kifo, wameuawa Juni 27 katika Galkayo Jimbo la Puntland nchini Somalia. Wapiganaji hao walihusika na mauaji ya watu muhimu wa nchi hiyo yakiwemo mlolongo wa matukio ya mauaji na ulipuaji katika maeneo ya Galkayo na Mudug. Mwenyekiti wa Mahakama ya...
Back
Top Bottom