wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Magaidi wenye silaha waua watu 138

    Wapiganaji wenye silaha wanaodhaniwa kuwa wa Jihadi wamewaua takriban watu 138 kaskazini mwa Burkina Faso, katika shambulio linalotajwa kuwa baya zaidi kushuhudiwa tangu mwaka 2015. Rais wa taifa hilo, Roch Marc Christian Kabore amelaani shambulio hilo akiliita la kishenzi na lililofanywa kwa...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

    Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
  4. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania BURKINAFASO: Takriban Wanakijiji 30 wauawa baada ya kushambuliwa na Wanamgambo

    Wanamgambo wanaosadikika wa kundi la Jihad wamevamia kijiji mashariki mwa Burkinafaso na kuua wanakijiji wanaokadiriwa 30. ‘Kundi kubwa la watu wenye silaha lilivamia kijiji cha Kodyel jimbo la Komandjari jumatatu asubuhi na kufanya shambulio liligharimu maisha ya watu wanaokadiriwa kufikia 30...
Back
Top Bottom