wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Shambulio la Sinagogi, Watu saba wauawa

    Tukio hilo limeacha watu wengine watatu wakijeruhiwa katika Mji wa Neve Yaakov ambapo Polisi wameelezea kuwa hilo ni shambulio la kigaidi na ni baya kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Vyombo vya habari vya Jerusalem vimemtaja mhusika aliyefanya shambulizi hilo kwa risasi kuwa ni raia wa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

    Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika. Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia. Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mexico: Watu wenye silaha wavamia gereza, watu 14 wauawa, wafungwa 24 watoroka

    Tukio limetokea Mji wa Ciudad Juarez baada ya watu wenye silaha kuvamia gereza wakiwa katika magari tofauti saa moja asubuhi na kuanza kushambulia. Waliofariki ni askari magereza 10 na wafungwa wanne huku 13 wakijeruhiwa. Baadhi ya wafungwa walichoma moto vitu gerezani hapo na kupigana na...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

    Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi 33 wa kidini wauawa Pakistan

    Magaidi 33 wa kiislamu ambao humpigania "mungu" wa waislamu wameuawa. Pakistani security forces have retaken a police station that was captured, killing all 33 hostage-takers, the defence minister has said. Islamist militants from the Pakistani Taliban seized the centre in the remote...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iraq: Askari Polisi 9 wauawa kwa bomu na shambulizi la risasi

    Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika. Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa. Inakadiriwa kikundi hicho kina...
  7. YinYang

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Italia: Wanawake watatu wauawa kwa risasi katika mgahawa

    Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu wengine wanne huku mmoja akiwa kwenye hali mbaya kiafya. Mtuhumiwa ambaye ana umri wa miaka 57...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wananchi wachoma ofisi ya kijiji Kilombero, wawili wauawa

    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji. Akizungumza na Mwananchi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chad: Watu 50 wauawa katika maandamano ya kudai Demokrasia

    Idadi hiyo imetolewa na mamlaka za usalama za Serikali na kuwa watu wengine 300 wamejeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Saleh Kebzabo amedai baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha na kati ya waliouawa ni askari wa vikosi vya usalama, ambapo Serikali imetangaza amri ya kutotoka nje...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Thailand: Zaidi ya watu 30 wauawa katika shambulizi la risasi lililofanyika katika kituo cha kulelea watoto

    Polisi nchini Thailand wameripoti kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulizi liliofanyika kwenye kituo cha kulea watoto. Taarifa za awali zinasema shambulizi hilo limefanywa kwa kutumia bunduki na mtu mmoja ambaye anatafutwa kwa sasa. ---- BANGKOK: At least 31 people were killed on...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 100 wauawa katika mapigano ya Armenia-Azerbaijan

    Mapigano kati ya Armenia na Azerbaijan yamesababisha kuuawa kwa Wanajeshi hao, ambapo kwa Armenia waliouawa ni 49 wakati Azerbaijan ni 50. Serikali zote mbili zimetupiana lawama juu ya mauaji hayo, Armenia ikidai miji yake kadhaa kwenye mpaka ilishambuliwa kwa makombora na ndipo wakajibu...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Haiti: Waandishi wauawa kwa risasi wakiwa kazini, miili yao yachomwa moto

    Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu. Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) yavamiwa wawili wauawa, 6 wajeruhiwa

    Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Filemon Makungu (wa pili kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na kuuawa kwa watu wawili na wengine sita kujeruhiwa na wafugaji katika kijiji cha Mvinza wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Watu wawili wamekufa na wengine 6 kujeruhiwa baada ya watu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Mshukiwa wa mauaji ya watu 10 kwa Kisu akutwa amefariki

    UPDATES: Polisi wamethibitisha kuwa mwili wa Damien Sanderson, mmoja kati ya washukiwa wawili waliohusika na mauaji siku ya Jumapili huko Saskatchewan umepatikana katika eneo la James Smith Cree Nation. Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, washukiwa hao wawili ni ndugu na tahadhari imetolewa kuwa...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

    Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 10 wauawa Mashariki mwa DR Congo

    Machafuko mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika siku tatu, vyanzo vya kijeshi na vya eneo hilo vimesema Jumapili. Zaidi ya makundi ya wanamgambo 120 yamesambaa mashariki mwa DRC, na kuna mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya raia...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Montenegro: Watu 11 wauawa kwa risasi wakiwemo Watoto wawili

    Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11. Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi hilo alitumia bunduki ya kuwindia wanyama kwa kuishambulia familia iliyopanga katika nyumba yake...
Back
Top Bottom