wauawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea Christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria source >>...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vifo vingi vya wanajeshi wa Israeli chanzo chake ni nini?

    Wanakumbi. VIFO VINGI VYA WANAJESHI WA ISRAELI, CHANZO CHAKE NI NINI? 🇮🇱🇵🇸 Watu wengi wanajiuliza kwamba tangu Jeshi la Israel litangaze kuanza kufanya operesheni ya nchi kavu “Ground Operation” wamefikia wapi wapi na uwezo wao wa kijeshi na misaada kutoka Marekani na mataifa mengine. Wiki...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wanne wa Hebollah wauawa na IDF, pia wanajeshi wa Lebanon wapigwa

    Israel imeshaonya Hezbolla, wakiendelea na uchokozi watasababisha huko walipo pia kufanywe shamba.... Three Lebanese soldiers were lightly injured Friday by Israeli shelling in southern Lebanon, medical sources said, while the Lebanese army reported no casualties in a second attack on a...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

    Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas. The Flotilla 13...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Uhalifu siku zote hauna faida: Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo

    Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo AFPCopyright: AFP Wanajeshi wa Uganda Pamoja na wenzao wa DR congo wamefanikiwa kumuua kamanda mmoja wa kundi la ADF pamoja na wapiganaji wengine watatu kwa mujibu wa mamlaka siku ya Ijumaa kwa mujibu wa mtandao wa The Monitor nchini humo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu watano wauawa katika ghasia za mgomo wa taksi Cape Town

    Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza. Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Watu 44 wauawa kwa Mlipuko katika mkutano wa siasa

    Polisi imesema mlipuko huo umetokana na bomu la kujitoa mhanga lililotokea Kaskazini Magharibi mwa Pakistan Zaidi ya 100 wamejeruhiwa kati yao 17 hali zao ni vibaya, katika shambulio lililowalenga Wanachama wa chama cha Jamiat Ulema-e-Islam-Fazl (JUI-F) katika Mji wa Khar, karibu na mpaka wa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watoto zaidi ya 40 wauawa katika shambulizi

    Mauaji hayo yametokea katika Mji wa Mpondwe uliopo Magharibu mwa Uganda ambapo pia watu sita wametekwa nyara na wanamgambo wa vikundi vya waasi wanaodaiwa kufanya shambulizi hilo. Shambulii hilo limetokea katika Shule ya Sekondari ya Lhubirira ambapo baadhi ya waliouawa wamekatwakatwa kwa...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi 60 wenye itikadi za kidini wauawa Somalia

    Wamewahishwa kuleeee. ========= The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group. Haradhere District Commissioner Mohamed Yusuf Kulmiye said that the SNA had received information about the movement of Al-Shabaab...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Watu 10 wa Familia Moja Wauawa kwa Risasi

    Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sudan: Watu 50 wauawa, zaidi ya 1,000 wajeruhiwa katika mapigano

    Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu wa Khartoum. Pande zote zinadai zinadhibiti maeneo muhimu kama vile Ikulu ya Rais. Jana Aprili 16...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi 20 wa kidini wa ADF (Islamic state) wauawa DRC

    Hawakusubiriwa wamalize mfungo wa ramadhani kabla kuwahishwa mbele za haki... In an operation that saw the joint forces make a surprise attack on an ADF camp in the thick forests South West of River Lusulubi Near River Semuliki -Rwenzori Sector, 20 rebels were put out of action whereas one UPDF...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Iran wauawa na shambulizi la Marekani

    Baada ya drone kumuua Mmarekani mmoja Syria, Marekani walijibu kwa kushambulia ngome ya magaidi wa Iran na kuua kadhaa.... US airstrikes killed eight pro-Iran fighters in eastern Syria following a drone attack that killed one American contractor and wounded five US service personnel, a war...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

    Geita. Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba aliyetambuliwa kwa jina la Renata Elias (27), ameuawa kikatili na mtoto wake wa kambo kwa kuchinjwa shingo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia na tamaa ya mali. Tukio hilo lililotokea usiku wa Februari 17, 2023 linadaiwa kufanywa na...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Watu 59 wauawa katika mlipuko wa kujitoa mhanga

    Mlipuaji wa Bomu hilo lililojeruhi watu 157 amefanya tukio hilo akiwalenga askari Polisi ambao ndio wamekuwa wakisali kwa wingi katika Msikiti uliopo Peshawar katika eneo linalotumiwa na Wanasalama wa makao makuu kwa ajili ya ibada. Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif amedai magaidi...
  20. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa msikitini Pakistan: Takriban watu 32 wauawa baada ya mlipuko huko Peshawar

    Takriban watu 32 wameuawa katika mlipuko uliotokea kwenye msikiti mmoja katika mji wa Peshawar nchini Pakistan. Mlipuko huo ulitokea wakati msikiti huo ukiwa umejaa waumini na zaidi ya watu 150 kujeruhiwa. Sehemu ya jengo iliharibiwa, na maafisa wanasema watu wamezikwa chini ya vifusi.Wengine...
Back
Top Bottom