Thailand: Zaidi ya watu 30 wauawa katika shambulizi la risasi lililofanyika katika kituo cha kulelea watoto

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,943
25,284
Polisi nchini Thailand wameripoti kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulizi liliofanyika kwenye kituo cha kulea watoto. Taarifa za awali zinasema shambulizi hilo limefanywa kwa kutumia bunduki na mtu mmoja ambaye anatafutwa kwa sasa.

----
BANGKOK: At least 31 people were killed on Thursday in a mass shooting at a children’s day-care center in a northeastern province of Thailand, a police spokesperson said.

Victims included both children and adults, police said in a statement, adding that the gunman was an ex-police officer and a manhunt was underway.

The prime minister has alerted all agencies to take action and apprehend the culprit, a government spokesperson said.

The rate of gun ownership in Thailand is high compared with some other countries in the region but official figures do not include huge numbers of illegal weapons, many of which have been brought in across porous borders over the years from strife-torn neighbors.

Mass shootings are rare but in 2020, a soldier angry over a property deal gone sour killed at least 29 people and wounded 57 in a rampage that spanned four locations.
 
Polisi wameripot kuwa shambulio hilo limefanywa na Afisa wa zamani wa Polisi aliyefyatua risasi katika kituo cha kulea watoto wa shule ya awali nchini

Mshambuliaji huyo aliwapiga risasi na kuwachoma visu watoto na watu wazima na kukimbia eneo la tukio. Bado haijajulikana sababu za shambulio na Polisi wameanza uchunguzi.

======================

At least 28 people have been killed after a former police officer opened fire at a pre-school child daycare centre in Thailand, police say.
The gunman is still at large after the attack in Nong Bua Lamphu, in the north-east of the country.
Police say children and adults are among the casualties.
Police say the attacker shot and stabbed children and adults and is now on the run. A motive for the attack is unclear.

BBC BREAKING
 
Polisi aliyefukuzwa kazi aitwae Panya Kemrub ameuwa Watu 35 wakiwemo Watoto wadogo wa Chekechea 24 kisha akamuuwa mkewe na mwanawe kisha akajiuwa yeye mwenyewe

Huyu polisi ni zaid ya Panyaroad

Source: BBC Thailand
 
Ungeanza na Thailand..m kushabikia mauaji nchini kwetu sijui ni kutafuta clic au nin
 
huwezi jua labda alikuwa anatafuta tembo wake kama ong bak
 
Polisi aliyefukuzwa kazi aitwae Panya Kemrub ameuwa Watu 35 wakiwemo Watoto wadogo wa Chekechea 24 kisha akamuuwa mkewe na mwanawe kisha akajiuwa yeye mwenyewe

Huyu polisi ni zaid ya Panyaroad

Source: BBC Thailand
Huyo ni Policcm wa Thailand
 
Back
Top Bottom