JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,462
Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza.
Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara yao na kudai wamekuwa wakizuiwa na magari yao kushirikiliwa kwa makosa madogomadogo ikiwemo kutovaa mkanda na kuendesha gari kinyume cha sheria katika njia ya dharura.
Mbali na hapo wanadai kuwa Serikali imekuwa ikitoza fainai kwa magari mengine
Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga aliamuru kuachiliwa mara moja kwa teksi ndogo zilizozuiliwa na Jiji la Cape Town na kusema Sheria iliyotumiwa na jiji imetekelezwa n vibaya na kuongeza kuwa haipo katika Sheria za sasa.
Wizara ya Polisi ya Afrika Kusini ilisema watu 120 wametiwa mbaroni tangu mgomo huo uanze tarehe 3 Agosti na wanafahamu kuhusu matukio ya uporaji, urushaji mawe na uchomaji moto.
============
Five people killed in Cape Town taxi strike violence
Five people have died in violent protests relating to a taxi strike in Cape Town, South Africa, officials say.
The victims include a 40-year-old British national whose family is being supported by the UK Foreign Office.
The week-long strike was called in response to what drivers said was "heavy-handed tactics" by law enforcement authorities.
The taxi drivers and owners said their vehicles were being targeted and impounded for minor offences.
Infringements included not wearing a seatbelt and illegally driving in the emergency lane, drivers said. They claimed others doing the same only faced fines.
Minibus taxi operators across Cape Town also aired frustrations that the government was impounding taxis they claimed were not roadworthy.
On Tuesday, South Africa's transport minister Sindisiwe Chikunga ordered the immediate release of the minibus taxis impounded by the City of Cape Town.
Ms Chikunga said the legislation used by the city had been "executed and implemented wrongly" and added that "it doesn't exist" under current laws.
The South African Ministry of Police said 120 people had been arrested since the strikes began on 3 August and they were aware of incidents of looting, stone throwing and arson.
Police Minister Bheki Cele also confirmed a police officer was among those who died.
On Tuesday, residents in the Masiphumelele township set up barricades, preventing other residents from leaving. Many of those barricades were set alight.
Speaking to the press on Tuesday, Mr Cele called for co-operation between the Cape Town government and taxi operators. He said those affected by the strike included children who could no longer get to school.
"People must swallow their pride, come together and resolve this issue", he said.
The UK has issued a travel warning after the strike was listed as a high security threat for tourists visiting South Africa.