Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu.
Hata ajira za mwaka jana (2025), February hawajamaliziwa pesa zao, wamepewa kwa mafungu mafungu na bado wanadai.
Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya...
Anonymous
Thread
changamoto
pesa ya kujikimu
watumishiwatumishi wapya
Tunaiomba Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na mamlaka nyingine husika kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu malalamiko na tuhuma mbalimbali zinazodaiwa kumkabili Bw. Emmanuel Tarimo, anayehudumu kama Meneja wa Rasilimali Watu katika Hospitali ya...
Anonymous
Thread
haki za watumishi
hospitali
matumizi mabaya ya madaraka
watumishi
Sisi ni Watumishi wa Afya katika Nkaiti Health Center iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire, tunaomba sana msaada wa kupaza sauti juu ya changamoto kubwa tunazokutana nazo, kwani mazingira ya kazi na maisha kwa ujumla ni...
Watumishi wa kada ya Ualimu tulioajiriwa tarehe 01/07/2022 tunaomba mamlaka husika zituangalie kuhusu suala la kupandishwa madaraja.
Hadi sasa hatujapandishwa daraja kutokana na sababu ya kuhusishwa na mwaka wa fedha wa 2023, jambo ambalo limefanya tuendelee kubaki katika daraja lilelile kwa...
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa.
Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
kibali
korogwe
uhamisho
vijijini
watumishi
wilaya
YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA
Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini.
Kwa kipindi cha miezi saba (7) sasa, hatujalipwa...
Mimi ni mtumishi wa umma kutoka Halmashari ya Wilaya Kishapu iliyopo mkoa wa Shinyanga, halmashauri yetu imekuwa haiwatendei haki watumishi wake kama ifuatavyo:
1. Malipo ya fedha za likizo. Watumishi hulipwa kwa kuchelewa mno na mara nyingi hulipwa kiasi kidogo ukilinganisha na kiasi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma.
Akizungumza Juni 1...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata salary slip, na huduma nyingine nyingi bila usumbufu wa kufuatilia makaratasi kutoka ofisi moja hadi...
Anonymous (6687)
Thread
ajira
chama cha walimu (cwt)
ess utumishi
halmashauri
mwaka
urambo
vyama vya wafanyakazi
watumishiwatumishi wapya
wilaya
Serikali ya awamu ya sita imefanya mambo mengi yapo mabaya na mzuri. Kwa upande wa watumishi Mh rais amejitahidi sana, kuanzia mseleleko mpaka kupanda kawaida , Kwahili Kwa kweli anastahili pongezi.
Ushauri wangu kwako achana na washauri maslahi. Ambao always hutoa ushauri unaolinda maslahi...
Mafunzo Elekezi kwa Watumishi Wapya wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) yameanza leo, Mei 28, 2026, ikiwa ni hatua muhimu ya kuandaa wataalamu wa mamlaka hiyo kwa kuzingatia misingi ya utumishi wa umma na miongozo ya serikali. Watumishi wapya 29 wanashiriki...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi amezungumza hayo Mei, 26, 2026 kuelekea, kikao kazi cha kitaifa kitakachofanyika jijini Dodoma Juni 1 hadi 3, 2026.
Kikaso hicho kitawakutanisha Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa...
Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation"...
Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ESS umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
Kisheria,sera na taratibu Iko wazi pale mtumishi anapostaafu anapaswa kupewa stahiki zake zote kama vile michango ya bima ya ustaafu (pensave scheme) kwaajili ya kusaidia maisha baadae ya kustaafu kazi.
Sasa hawa NIC wamekuwa ni kikwazo sana katika hilo,unakuta mtumishi kastaafu zake na...
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa hatujapatiwa barua za kuthibitishwa wala barua za kuongezewa muda wa probation period. Kutokana na hali hiyo...
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa.
Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana.
Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable
Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo...
Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni zaidi ya kilomita 30
Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
Anonymous
Thread
haki
juni
kupandishwa madaraja
madaraja
malalamiko
malimbikizo ya mishahara
mishahara
watumishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.