Kuna jambo ambalo tunapaswa kulisema kwa uwazi kabisa bila kuficha ukweli.
Inasikitisha kuona uongozi wa juu wa nchi ukipambana usiku na mchana kutafuta suluhisho la matatizo ya wananchi Rais akisimamia utekelezaji wa miradi Serikali ikitenga fedha mawaziri wakizunguka kusimamia majukumu yao...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana waliyopewa kama wajibu wa kusimamia shughuli zote za Serikali katika maeneo yao.
Rais Samia amesema hayo...
Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka.
Watumishi wa mikataba Manispaa ya Temeke ni mojawapo ya kundi tunalofanya kazi katika Mazingira magumu...
Anonymous
Thread
hawajalipwa
miezi
miezi miwili
mishahara
mkataba
mshahara
mwezi
temeke
watumishi
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amewashauri watumishi wa mahakama na watumishi kwa ujumla kutokuwa wanaharakati katika kudai haki, akisisitiza umuhimu wa kutumia njia na taratibu zinazotambulika katika kutafuta haki zao.
Soma Pia: Jaji Mkuu Masaju Aonya Mahakama Kuishi Kwa Maelekezo
Halmashauri ya Mkuranga watumishi hawapewi stahiki zao kwa wakati, zikiwemo likizo, uhamisho na stahiki nyingine.
Fikiria unaomba likizo yenye malipo, lakini hulipwi hadi miaka inapita. Unashindwa kuelewa kinachoendelea, na wanapokulipa baada ya miaka kadhaa, fedha hizo hukatwa bila sababu ya...
Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida.
Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo.
Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Prof...
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha inapenda kuujulisha umma na wadau wote kuwa taarifa iliyosambazwa kupitia JamiiForums ikidai kuwa watumishi wanaoenda likizo mwezi Juni hawalipwi stahiki zao za likizo kwa kisingizio kwamba watumishi wanaoenda likizo ni wengi, si ya kweli na...
Watumishi wa Umma tumefunguliwa Mfumo wa ESS ambao tumeambiwa ndio suluhisho la Watumishi lakini mfumo huu bado ni changamoto, Mtumishi anaomba uhamisho kwenye mfumo mpaka unafika TAMISEMI halafu baada ya hapo status inafutika.
Hakuna majibu yoyote ukiuliza TAMISEMI wanasema barua zimetumwa...
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa watumishi wa umma wanaopanga kuwania nyadhifa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 wanatakiwa kujiuzulu kufikia Februari 10, 2027.
Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema tarehe hiyo ni miezi sita kabla ya uchaguzi na...
Idara ya Maendeleo ya Jamii, bado hatujalipwa kabisa Fedha za kujikimu hadi sasa katika kipindi cha miaka mingi sana. Tangu tumeajiriwa mwaka 2023, mwaka 2024, mwaka 2025, na mwaka huu 2026.
KERO, yetu ni hiyo yaani kila muda tunaulizia, wanasema andikeni barua... Ukweli ni kwamba Barua...
Anonymous
Thread
bado
chato
fedha
fedha za kujikimu
geita
halmashauri
kujikimu
watumishiwatumishi wapya
wilaya
Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
Shikamoo,..habari zenu..
Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana Wana vitambi?
Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ haijalipa fedha za stahiki kwa wakulima na wafugaji walioshiriki katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro, Arusha, kuanzia tarehe 28 Julai hadi 9 Agosti.
Tunapowasiliana na Afisa Kilimo wa Wilaya kuhusu malipo hayo, majibu...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
hanang
malipo
maonesho
maonesho ya nanenane
nanenane
wakulima
watumishi
wilaya
wilaya ya hanang
Mikopo ya watumishi wa umma kausha damu. Unakopa benki milioni 15, kinachoingia milioni 13 makato, milioni 32 haijalishi utalipa kwa muda gani, lakini hii ni kausha damu.
Agosti 13 mwaka huu kwenye ukumbi wa Manispaa ya moshi kikao cha Baraza la madiwani kiligeuka kama kamati kwa ajili ya kujadili masuala ya kiutumishi hivyo sisi ambao hatukuwa wajumbe kanuni zilituondoa ndani ya ukumbi .
Kikao kiliendelea kwa muda na hatimaye kikamalizika na sisi tukaitwa ...
Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC.
Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.