Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho.
Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
Habari za leo?
Ndugu zangu nimefikia uhamuzi huu wa kuuliza ni kwa nini Tamisemi haitoi majina ya watumishi waliopata uhamisho?
Jibu ninalofikiria binafisi ni kutokana na kuwepo na uvunjifu wa sheria za uhamisho na hivyo basi wahusika kuamua kuficha uvunjifu huo.
Hivi karibuni kumekuwepo na...
Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana.
Imeumiza sana, watu wanadai hela anadai ofisi haina mapato wakati yeye kila siku safarini na bado anawalipa watu wa...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
Anonymous (d932)
Thread
afya
kitengo
mionzi
mmoja
mtumishi
serikali
watumishiwatumishi wa afya
wilaya
Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha.
CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa kidogo.
Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
kahama
kujikimu
malipo
posho
watumishi
zao
BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF.
Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY..
nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote.
TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
Anonymous
Thread
dalili
hela
kujikimu
kupigwa
newala
vijijini
watumishi
Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana.
Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa.
Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
Anonymous
Thread
hifadhi
hifadhi za taifa
hii
jana
kero
kulipa
mpaka
mwaka
mwaka jana
mwezi
shirika
taifa
tanapa
wake
watumishi
yangu
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo.
Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu?
Mamlaka husika naomba litende haki Kwa...
Anonymous
Thread
haki
halali
katika
kufuata
kwasababu
mamlaka
mwenza
suala
tamisemi
uhamisho
umma
utumishi
utumishi wa umma
watumishi
Mfano watumishi wa chuo kikuu kimoja cha umma Pindi chuo kinapofunguliwa na wakati wanachuo wapya wanapo join chuoni
MWEZI NOVEMBER
watumishi wa chuo wanapambana wanaandikisha wanafunzi wapya wanaojiunga na chuo hicho wakifanya kazi mpaka masaa ya ziada.
Makusanyo ya ada yanakuwa...
Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu.
Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU
riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi.
japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila...
Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo.
Yaani kama unadai shilingi Laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
Anonymous
Thread
halmashauri
likizo
malipo
malipo ya likizo
tanganyika
watumishi
Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu.
Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu Mwaka 2025 walilipa kidogo.
Yaani kama unadai laki 5 basi unalipwa laki moja, ila kuna...
Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi.
Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa kiasi wanachojua wao.
Je! Kwanini elimu isitolewe kuhusu malipo ya likizo ili kuepusha kunyimwa...
Anonymous
Thread
halmashauri
kigoma
likizo
malipo
malipo ya likizo
mkoa
tanganyika
umbali
watumishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.