Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
Watumishi wa Halmashauri ya Itilima (Walimu) hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025
Mimi ni Mtumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Itilima, kero yangu ni kwamba hatujalipwa hela ya likizo ya nauli ya Desemba 2025 mpaka leo hii Mei 2026, kitu ambacho kinashangaza kwasababu...
Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi, Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Na Afya Tanzania (TUGHE)na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) bila kuchagua?
Kuna hivi vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU wanakuunga kilazima bila mfanyakazi kujua, hawakupi...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
bila
katika
kilimanjaro
kuchagua
mpya
mwanga
ridhaa
talgwu
tughe
vyama
vyama vya wafanyakazi
wafanyakazi
watumishi
wilaya
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover).
Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
Anonymous (cc8c)
Thread
ess
huduma
katika
kununua
kuuza
madeni
mfumo
mfumo wa ess
mikopo
mikopo ya watumishiwatumishi
My Take
Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine.
Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa waajiri wao kwa wakati.
Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha nchini na baadhi ya watumishi kuishi...
Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwaka 2021 amechukua hatua kadhaa zinazohusu wafanyakazi, hasa katika sekta ya umma na mazingira ya kazi kwa ujumla. Hapa kuna mambo muhimu aliyofanya:
1. Kuongeza mishahara ya watumishi wa umma (2022)
Baada ya miaka kadhaa bila nyongeza...
Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia.
Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele?
Vipi kuhusu wanaotekwa na kupotea au kuuliwa kama alivyoukiwa Mzeee Ali Kibao?
Wewe unaona ni suala dogo?
Leo hii akifa...
Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho.
Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
Habari za leo?
Ndugu zangu nimefikia uhamuzi huu wa kuuliza ni kwa nini Tamisemi haitoi majina ya watumishi waliopata uhamisho?
Jibu ninalofikiria binafisi ni kutokana na kuwepo na uvunjifu wa sheria za uhamisho na hivyo basi wahusika kuamua kuficha uvunjifu huo.
Hivi karibuni kumekuwepo na...
Watumishi wa Mtwara Manispaa wanadai posho za safari na kazi mbalimbali lakini Mkurugenzi halipi hela zote, anatumia yeye kusafiri kila siku hata muda wa kukaa ofisini hana.
Imeumiza sana, watu wanadai hela anadai ofisi haina mapato wakati yeye kila siku safarini na bado anawalipa watu wa...
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
Anonymous (d932)
Thread
afya
kitengo
mionzi
mmoja
mtumishi
serikali
watumishiwatumishi wa afya
wilaya
Bishop George John ameongea hayo katika mkutano uliowakutanisha viongozi wa dini na kutoa onyo kwa watu wanaaomba Rais afe kwani kitu kama hicho hakiwezi kutokea, na badala yake watakufa wao.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha.
CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa kidogo.
Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
kahama
kujikimu
malipo
posho
watumishi
zao
BIMA ya standard ni ya kizushi gharama za huduma nyingi unaambiwa hii haipo kwenye bima ya NHIF.
Yani mtoto alimeza coin nikampeleka hospitali imatolewe RIGID BRONCHISCOPY..
nikalazimika kulipia laki tatu na nusu 350,000/= huku mimi baba wa mtoto na mama wa mtoto wote ni watumishi wa serikali...
Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote.
TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
Anonymous
Thread
dalili
hela
kujikimu
kupigwa
newala
vijijini
watumishi
Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana.
Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa.
Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
Anonymous
Thread
hifadhi
hifadhi za taifa
hii
jana
kero
kulipa
mpaka
mwaka
mwaka jana
mwezi
shirika
taifa
tanapa
wake
watumishi
yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.