Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga DC, Joseph Kashushura, kupitia Halmashauri anayoiongoza, hivi karibuni alinunua gari aina ya Toyota Coaster kwa gharama inayozidi Shilingi milioni 300. Bei hiyo ilitajwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ndugu Haule, wakati akitoa ufafanuzi kwa...
Habari wana jf kuna hawa watumishi wa umma kwakweli ilibidi wafutiwe baadhi ya tozo unakuta mtumishi kwenye mshahara wake anakatwa kodi 240000 arafu kuna tozo zingine hizi nje ya ajira kwamfano kama akiwa na usafiri parking alipie ushuru akiingia stand alipie ushuru akinunua bidhaa anakatwa kodi...
1. Kutaka kuwa karibu na familia hasa mwenza na watoto.
2. Kukosekana kwa nyumba bora za watumishi au za kupanga.
3. Gharama kubwa za kupanga hasa katika majiji.
4. Upungufu wa huduma za kijamii kama maji, umeme, shule, hospitali
5. Changamoto ya mawasiliano ya simu na Miundombinu kama...
Mliokuwa hamjui ni kwamba;
Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..."
Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
Habari JamiiForums,
Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI.
Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026, lakini hadi sasa bado yanaonesha kuwa yapo TAMISEMI bila hatua yoyote kuchukuliwa. Pia hakuna mrejesho...
Anonymous
Thread
ess utumishi
tamisemi
uhamisho wa watumishiwatumishi
Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn?
Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi ambao mtumishi alianza kazi.
Pamoja na utaratibu huo, kumekuwa na changamoto ambapo baadhi ya watumishi...
Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi.
Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
Baadhi ya watumishi wa kada ya ualimu katika Halmashauri ya Kaliua hatujalipwa fedha za kujikimu hadi sasa. Wale waliolipwa wamepewa sehemu tu ya malipo hayo, huku kiasi kilichobaki kikiwa bado hakijalipwa.
Ufuatiliaji unaonyesha kuwa hata baadhi ya watumishi waliopo kazini kwa muda mrefu bado...
Anonymous
Thread
fedha
fedha za kujikimu
kaliua
kujikimu
ualimu
watumishi
Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu.
Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia ngazi ya madiwani, Mkurugenzi hadi wakuu wa idara mbalimbali. Kwa mtazamo wetu, viongozi hawa...
Anonymous
Thread
haki
halmashauri
mbulu
mji
msingi
sana
wake
watumishi
Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake.
Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba
Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu.
Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume.
Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
Watumishi wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Idara ya Elimu ya Sekondari, tunalalamikia kutolipwa stahiki zetu za likizo ya malipo licha ya kudai kwa muda mrefu.
Kila tunapofuatilia tunaelezwa kuwa fedha zinazotolewa na Serikali hazitoshi, jambo linalotushangaza kwa kuwa watumishi wa Idara ya...
Anonymous
Thread
elimu
halmashauri
idara
idara ya elimu
idara ya elimu sekondari
likizo
malipo
malipo ya likizo
sekondari
tarime
tarime vijijini
watumishi
Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, bado hawajalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapofuatilia na kuulizia malipo yao, hupokelewa kwa majibu makali badala ya kupewa ufafanuzi wa kina kuhusu lini...
Anonymous
Thread
ajira mpya
iramba
kero
singida
watumishi
wilaya ya iramba
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi
Hadi leo tarehe 6/04/2026 mishahara yetu bado haijapatikana. Ucheleweshaji huu umetufikisha pabaya sana. Wenzetu...
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi
1. Hali ilivyo sasa
Hadi leo tarehe 5/04/2026 mishahara yetu bado haijapatikana. Ucheleweshaji huu umetufikisha...
Anonymous
Thread
chelewa
halmashauri
kero
liwale
malipo
mishahara
ucheleweshaji
watumishi
wilaya
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu.
Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano.
Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
Anonymous
Thread
afya
huduma
kazini
rasmi
sana
utaratibu
watumishi
wizara
wizara ya afya
Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu.
Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
mambo
mambo ya
sawa
serikali
uongozi
watumishi
yombo vituka
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
Anonymous
Thread
familia
halmashauri
halmashauri ya handeni
handeni
kutelekeza
watumishiwatumishi wa halmashauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.