watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Inapendeza sana kwa waliokuwa waigizaji wanapokutana wakiwa watumishi kanisani

    Mmoja alikuwa ni msanii maarufu wa uchekeshaji Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu. Mwingine alikuwa msanii wa uigizaji bongo movies Ila kwa sasa kaokoka na anamtumikia Mungu. Pichani ni Bishop Masanja Mkandamizaji na Pastor Irene Uwoya Inapendeza wanapokutana kwa umoja.
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira kwa watumishi tarajali (internship)

    Tarajali ni kipindi ambapo wafanyakazi hupokea mafunzo ya kazi chini ya uangalizi maalumu katika shirika ama kampuni fulani kwa kipindi cha muda fulani ili kupata uzoefu utakao muongezea thamani katika kazi yake ili apate soko katika ajira kirahisi. Hapa tanzania tuna taasisi inayowasaidia...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange. Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa Mtandao kuomba uhamisho Serikalini ni tatizo, unatakiwa kuboreshwa

    Kuna changamoto ya Mfumo wa Employee Self Service (ESS), Watumishi wa Serikali tunateseka. Nimeanza kutumia Mfumo kwa ajili ya kuomba Uhamisho wa kuhama kutoka ‘Taasisi A’ kwenda ‘Taasisi B’ kwa takribani miezi sita sasa tangu kuanza kwa Mfumo huo rasmi bila ya mafanikio huku nikikumbana na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma sasa wameamka

    Tofauti na miaka mingine yote, kwa sasa watumishi wa Umma wameamka kutoka usingizini. Wengi wao wameshagundua kuwa, mtetezi wao mkubwa si Wabunge wala serikali bali ni Viongozi wa vyama vya upinzani. Hawa ndio watetezi wakuu wa watumishi wa Umma kwani husimama hadharani na kuyalalamikia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa hospitali ya liwale iliyopo Liwale-Lindi walioajiriwa kwa mkataba na Halmashauri kupitia mdau MSF hawana tarehe maalumu ya mshahara

    Kuna watumishi wapatao 43 ambao wameajiriwa kwa mkataba Halmashauri ya Liwale kupitia mdau Medicines San Frontiers (MSF) au Madaktari wasio na mipaka miongoni mwao ni Madaktari, wauguzi na wataalamu wa maabara na wahudumu wa afya ngazi ya jamii zaidi ya 10. Cha ajabu ni kuwa hawajapata...
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe: Watumishi Wengi Serikalini Wanalipwa Mishahara Midogo

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Twaha Mpembenwe amesema kuwa Uchambuzi wa Kamati ya Bunge ya Bajeti umebaini kwamba watumishi wengi wa Serikali wanalipwa mishahara midogo isiyoendana na kupanda kwa gharama za maisha. Kamati imeeleza hayo wakati ikiwasilisha bungeni jijini Dodoma...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa umma ni wezi, vilaza, na wavivu waliojaa viburi

    CAG mstaafu, Prof. Assad aliposema asilimia sitini ya watumishi wa uma hawana uwezo, Serikali ilijitokeza haraka sana kukana hilo. Mbunge wa Kahama, Jumanne Kishimba aliposema kuwa asilimia tisini ya wasomi wetu wanajua tu kusoma na kuandika, watu wengi walimkejeli. Lakini kwa hali ya mambo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kila anayefanya vibaya serikalini uhamishwa na kulipwa gharama za Uhamisho zisizopungua milioni kumi kwa mtumishi mwandamizi na 25M kwa wakuu wa Idara

    Only in Tanzania ndipo kufanya kazi kituoni muda mrefu ni kigezo cha kushuka ufanisi. Tanzania Uhamisho wa watendaji ni maamuzi ya kila mtu. Hakuna sera inayoongoza taratibu za uhamisho. Leo kwa kauli za wakuu wetu mganga mbobezi anaweza kuhamishwa kituo kisa amekaa muda mrefu; wakuu wa Idara...
  11. Mpishimzoefu

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfuko wa uwekezaji wa pamoja (UTT AMIS) uunganishwe na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwakwamua Watumishi wa Umma

    Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua. Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii 1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma tuache kelele, Serikali inatupenda sana

    Morning! Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma. Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

    Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8. Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na...
  14. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini. Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

    Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua. Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio wengi wameweka mgomo. Kila analoelekeza hakuna anayelitekeleza badala yake wanasubiri aondoke na kamera...
  16. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha. Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na...
  17. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Watumishi walitakiwa kupanda madaraja yao mwenzi huu Mei, mara ya mwisho walipanda mei 2021. Rais Samia Kulikoni?

    Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo. Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
Back
Top Bottom