watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Inachofanya TRA ni kuifilisi au kuiua Hospitali ya Massana, Watumishi wa Hospitali tunahisi kupoteza matumaini

    Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti za Benki za Hospitali hiyo kwakile wanachodaiwa kuwa ni madeni wanayoidai Hospitali. Kwasasa sisi...
  2. Gyver 03

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma na masuala ya siasa

    Inakuaje watumishi wa UMMA wanalazimishwa kudhulia mikutano ya SIASA
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Walimu ndio kada ya watumishi wanaokula kwa halali

    Majority ya walimu kazi yao haina madili,no connections no gape ya upigaji pesa ni wao chaki, Na mshahara wao kiduchu. Maisha ya kuridhika na kidogo chao ndo furaha yao hawakat tamaa wanapiga kazi. Wengi wao wapo vijijini ndani ndani huko na pikipiki zao asubuhi na jioni wanabebana kwenda na...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi ataka uadilifu na kutenda haki kwa watumishi wa sekta ya ardhi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi. Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maulizo ya mshahara kila mwezi - Watumishi wa Umma

    Habari za jioni, Karibuni kwenye uzi huu kwa ajili ya kuhabarishana kutoka kwa mshahara kila mwezi, nyongeza ya mshahara na updates mbalimbali za mishahara kwa Watumishi wa Umma. Ahsanteni.
  8. x - mas

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi: watumishi wanaobadilishwa kada/kazi mwaka 2023/2024 na wale wa madaraja

    Naomba kujuzwa yafuatayo: 1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu? 2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july kupita. 3. Ni hatua zipi mfanyakazi anapitia baada ya kutuma maombi ya kubadilishwa kada. Hapa mimi...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

    Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
  10. ClearingAgent

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa ushuru kwa vyombo vya usafiri(magari/pikipiki) kwa watumishi wa Umma

    Utangulizi Uzi huu unatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri(magari/pikipiki). Aina ya vyombo vya usafiri vinavyohusika na msamaha (a) Magari (b) Pikipiki za aina zote Ushuru unaosamehewa...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma ni adui wa nne wa nchi yetu?

    Kipindi cha Nyerere, maadui wa nchi walikuwa watatu: ujinga, magonjwa, na umaskini. Ingawa hao maadui wangalipo, lakini huenda kuna adui mwingine kaongezeka: watumishi wa umma. Mbaya zaidi ni kuwa huyo adui anaishi kwa jasho la wenye nchi kwa manufaa yake mwenyewe huku wenye nchi wakiumia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Watumishi wala rushwa TRA watimuliwe na wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu Mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu ikiwemo kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi wa Mamlaka hiyo wanaokiuka maadili ya kazi zao ikiwemo kudai na kupokea rushwa, kwa kuwa vitendo...
  13. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Dickson Kabigumila: Wasanii wa muziki wa kidunia sio watumishi wa Mungu

    Pastor Anafunguka... Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  15. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imenunua Pikipiki nchi nzima na kuweka nembo ya Samia. Fedha za wastaafu na stahiki za watumishi hazipo

    CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao na stahiki za watumishi wa serikali huku wakitaabika na kuteseka ilhali fedha za kununua pikipiki na...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujitegemea kwa nafasi za ajira zinazopatikana kutokea kwa watumishi waliostaafu na waliofariki

    KUJITEGEMEA KWA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOPATIKANA KUTOKEA KWA WATUMISHI WALIOSTAAFUU NA WALIOFARIKI. Kupata kazi au ajira baada ya kumaliza masomo imekuwa ni ndoto ya kila msomi, lakini katika karne hii hasa miaka ya hivi karibuni ndoto hii imekuwa ikitimia kwa wachache miongoni mwa wengi. Hali...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wakenya kutaja mali za Watumishi wa Umma na kuwauliza wamezipataje!?

    Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  19. copyright

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

    Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
  20. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Majibu ndio hayo msisononeke
Back
Top Bottom