watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

    Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua. Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio wengi wameweka mgomo. Kila analoelekeza hakuna anayelitekeleza badala yake wanasubiri aondoke na kamera...
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha. Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na...
  3. Johnson Yesaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Watumishi walitakiwa kupanda madaraja yao mwenzi huu Mei, mara ya mwisho walipanda mei 2021. Rais Samia Kulikoni?

    Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo. Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU chunguzeni Wizara ya fedha (Hazina) huenda imetengeneza mfumo wa kuiba hela ya mafao ya watumishi wa umma

    Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya Arusha) akilalamika kodi zinachepushwa na kuingia katika mtandao wa wapigaji na wala haziingii serikali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa vyombo vya dola acheni kulalamikia kikokotoo mnapostaafu; kuweni wazalendo na juhudi za mwajiri

    Kuna maaskari wameanza kulalamika mitandaoni kuhusu kiwango cha fedha wanachopata wanapoostaafu. Wanalalamika wakati ambao wao wenyewe ndio walisimamia kikokotoo kitumike. Najiuliza walidhani kikkokotoo kinatumika kwa waalimu tu? Kibaya zaidi pamoja na kulipwa fedha ndogo wao hao hao wapo...
  8. Candela

    JamiiForums Tanzania KERO TRA wananitumia meseji nikafanyiwe makadirio wakati hatukufikia makubaliano

    Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila walisapoti wakawa wanasimamia show zangu. Wanasema cha mtu mavi, ukitaka ubaya kabidhi ndugu mali...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa idara ya ardhi Tanzania "wamelaaniwa"?

    Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi ni nyingi sana. Baada ya kuona malalamiko yanayoshughulikiwa na Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, pamoja...
  10. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS kwa Watumishi unasumbua

    Wakuu, hii Hali inanikuta Mimi tu au ni Kwa WATUMISHI wote. Kila nikijaribu kufungua hii web Huwa inagoma kabisa. Msaada tafadhali.
  11. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania KWA WATUMISHI WA UMMA:Fanya hivi ukitendewa ndivyo sivyo na afisa mikopo

    Habari za mida hii GT...niende kwenye mada Katika kujikwamua na maisha ya kawaida huenda ukajikuta unaingia benki na hivyo kufanya mawasiliano na afisa mikopo... Picha linaanza ambapo huanza kukupigia hesabu za mkopo wa muda mrefu mfano miaka 9... Tatizo linaanzia pale ambapo mnakubaliana...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watumishi waliowagaragaza raia kwa kushindwa kulipa ushuru wasimamishwa kazi

    Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa ushuru katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mkuu wa wilaya ya Kahama...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
  14. Single Digit

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuna umuhimu wa Serikali kuboresha mishahara ya Walimu na Polisi

    Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Wadau nimeshafanya uhamisho huu online, status inasoma ALLOWED, kwa waliowahi kufanya uhamisho huu nini kinafuatia baada ya hapo natanguliza shukrani.
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watunza mazingira nao ni "watumishi" wa Mungu hata kama hawaamini katika Mungu

    Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo. Ni mpaka nilipoelewa Andiko la Mwanzo 7: 1 - 5 kwa namna nyingine ndipo "nilipowaelewa" Duniani kote...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Utumwa wa kazi za Serikali unavyowatesa watumishi wa umma

    Ni raha sana pale unapoanza kazi kwa mara ya kwanza paaa salary hiyoo inaingia kwenye bank acount na kusoma 350k, 400k mara 570k au 700k na nk. Mwanzo mwa maisha ya kazi ni raha na utajihisi kuwa una ubia au undugu mzuri na Serikali, pia utadumisha uadilifu mwingi na unyenyekevu kazini. Sasa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi mnazungumzoaje Mei Mosi 2024?

    Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu? Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
  19. Doto12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya Jirani kundi kuu la watumishi likiupiga mwingi.. Salary increase

    Wakenya hawana baba. --- Salary Enhancement for Over 100,000 TSC Educators Effective July 2024: A Detailed Examination The Teachers Service Commission (TSC) assumes a pivotal role in the recruitment, employment, and remuneration of educators across...
  20. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi tukatwe kodi kidogo. Tusifananishwe na Watumishi wa Umma

    Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu. Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
Back
Top Bottom