watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi wa Umma kufanyika mara 4 kwa Mwaka (kila baada ya miezi 3)

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya mwaka husika. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Prof. Shemdoe amesema...
  2. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kuzifanyia kazi changamoto za Kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kuzifanyia kazi changamoto za kiutumishi zinazowakabili Watumishi wa Umma kwa muda mrefu ili waweze kutoa huduma bora kwa umma. Akizungumza wakati...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano kwenye kupanda vyeo kwa watumishi wa umma, Waziri elimisha wafanyakazi kupitia maafisa utumishi

    Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha. Kunahitaji elimu ya kutosha, kinachoonekana watu hawaelewi ni muda gani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma, leo hamtangaziwi nyongeza, bali kulipwa sehemu ya madeni yenu ya nyongeza

    Ik8fika July mwaka huu,tutakuwa tunaingia mwaka wa sita tangu watumishi wa umma waongezewe kwa mara ya mwisho mishahara pamoja na nyongeza ya mishahara ya Kia mwaka mpya wa fedha (annual increament). Annual increament hii ambayo iko kisheria, kwa miaka hii sita kwa mtumishi mwenye mshahara wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Mtihani mkubwa kwa Rais Samia ni kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma. Je, ataweza?

    Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini waalihitaji kuonewa huruma. Waziri mkuu alikatisha watu tamaa kabisa pale aliposema eti kuongeza...
  8. Pilitoni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu suala la Uhamisho kwa Watumishi wa umma litatue

    Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi. Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

    Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma. Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma badala ya kuomba mwongezewe mishahara ombeni wengine nao waajiriwe

    Ujumbe muhimu kwa Watumishi wa Umma. Japo kuna baadhi ya watumishi hawatoweza kunielewa nini naamaanisha ila namaanisha kweli. Kwanza kabisa naomba nieleweke ni hivi mshahara haujawai tosha na wala hautakuja kutosha. Jambo la msingi ambalo watumishi mnatakiwa kujifunza ni jinsi ya kumeneji...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Serikali tafakarini kuongeza mishahara ya Watumishi wa Umma, ukali wa maisha ni bomu linaloua taratibu!

    Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'. Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Athari za mishahara duni ya Watumishi wa Umma

    Mishahara duni ina athari kubwa sana kwa watumishi wa umma na Taifa kwa ujumla na hizi ni baadhi ya athari hizo kwa watumishi na Taifa letu. 1. Low purchasing power Mishahara duni inapunguza uwezo wa mtumishi kufanya manunuzi na hivyo wakati mwingine humlazimisha mtumishi kukimu mahitaji yake...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali kupandisha mishahara ya watumishi wa umma, hakuna kisingizio cha kutopandisha, uzalishaji umeongezeka

    Wanabodi hili ni bandiko la kuelezana ukweli,na kama viongozi wetu ni wakweli basi hakuna haja za kusubiri mpaka mei mosi ifike ili mishahara ya watumishi wa umma iongezwe. Mwaka 2017 kwenye mkutano mkuu wa 33 wa ALAT jijini Dar es salaam rais JPM alisema hawezi kuongeza mishahara ya watumishi...
  14. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu udumishwe viongozi wanapowasilisha hoja kwa watumishi wa umma

    Wanabodi, Ukizingatia changamoto tulizo kuwa nazo ni vyema kuona kwamba tumevuka mwaka 2020 salama. Kitu ambacho ningependa kujadili na wenzangu leo ni hali ambayo imekuwa ikijitokeza na kujumuisha viongozi serikalini kutumia njia ya ukali usio wa lazima na kwa vipindi vingine njia ya kuwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk. Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa 6 wakiwa na mshahara ule ule uliopanda kwa mara ya mwisho mwezi July, 2015

    Tuliwalaumu na kuwalaani wakoloni kwa mambo mengi mojawapo ikiwa ni kutoa ujira mdogo kwa watu weusi na tukaamini tukipata uhuru, mambo haya yataisha. Cha ajabu, leo hii watwala ambao ni watanzania wenzetu, wanaturudisha kule kule tulikotoka sio tu kwa kutoa mishahara inayoendana na gharama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

    Mishahara ya watumishi wa Umma nimikubwa kiasi gani? Unatembelea ofisini kwa mtu unamiuta anasimu tatu smartphone zenye thamani ya si chini ya milioni mbili kila moja, unajiuliza haya mafedha wanayatoa wapi? Je, huu ni utajiri au nikukosa elimu ya matumizi za fedha? Inaweza kuwa tunashangaa V8...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  19. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

    ......YNWA..... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watumishi wa Umma wapewa ruhusa ya siku 3 kwenda kupiga kura mahali walipojiandikisha

Back
Top Bottom