Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
6,957
2,000
Aliyeshinda uchaguzi ni.

1. Ni yuleyule rais aliyesema hana mpango wowote na Human resource encourange (Hawezi kuongeza mshahara).
Mimi naomba Magufuli awamu hii apunguze hadi mishahara ya watumishi wa umma!

Inaonekana ni mikubwa sana, ndio maana wanamuunga mkono na wamemsaidia kupora kura!

Apunguze hata kwa nusu akajengee uwanja wa mpira Chato.

Nina uhakika bado watumishi umma wataendelea kumwona mungu
 

Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
937
1,000
Hujasema kama:

1. yule yule aliyekomesha Rushwa ns Ucheleweshaji wa kesi Mahakamani.
2. Ni yule yule anayesomesha bure watanzania kutoka darasa LA kwanza hadi kidato cha NNE
3. Ni yule yule aliyekarabati shule Kongwe ambazo ukifika utadhania ni vyuo vikuu
4. Ni yule yule aliyekomesha mgao wa umeme
5. Ni yule yule aliyeboresha sekta ya afya kwa kujenga Hospitali, zahanati mpya na kuongeza vifaa
6. Ni yule yule anayejenga SGR na Stiglers Gorge
7. Ni yule yule aliyepitia mikataba ya madini na sasa nchi inanufaika na madini yetu
8. Ni yule yule aliyedhibiti biashara haramu za pembe za ndovu na dawa za kulevya
9. Ni yule yule jembe LA afrika ambaye Mabeberu wasikiapo jina lake wsnatetemeka

Acha ubinafsi, Watumishi wa umma ni laki tano tu kati ya watanzania mil 50, Wapo wakulima, wafugaji, wafanyaboashara, wavuvi n.k, wote wanamwangalia Mheshimiwa Rais.
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
539
1,000
Kule Porini kuna Predator na Prey wale predators kimsingi ni wachache in numbers ila wanaishi kwa kujitanua kwasababu ya ujinga wa prey.Nyumbu kwa umoja wao wakiamua simba hatamuua hata mmoja..
Tatizo maofisini kumejaa makada tu.

Bosi wangu (mkuu wa IDARA) ni kada mfia chama na mNEC kupitia mkoa pwani.

Nini utamwambia juu ya CCM akakuelewa?

#YNWA
 

MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,624
2,000
Aliyeshinda uchaguzi ni....

1.Ni yuleyule raisi aliyesema hana mpango wowote na Human resource encourange (Hawezi kuongeza mshahara)

2. Ni yule yule raisi aliyeamua kugoma kupandisha maadaraja watumishi wotee walioajiriwa kuanzia 2014

3. Ni yuleyule raisi aliamua kuvunja Sheria ya "Annual Increment". Na hakuongeza chochote kama Sheria ilivyomtaka....

IMG_20200921_190239.jpg
 

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
539
1,000
Hujasema kama:
1. yule yule aliyekomesha Rushwa ns Ucheleweshaji wa kesi Mahakamani.
2. Ni yule yule anayesomesha bure watanzania kutoka darasa LA kwanza hadi kidato cha NNE
3. Ni yule yule aliyekarabati shule Kongwe ambazo ukifika utadhania ni vyuo vikuu
Bro kumnunulia mtoto nguo mpya haiondoi "his right and your obligation kumpa chakula"

Mwambie mwenyekiti wenu aache "uzurumishi "
1. Anipe maadaraja yangu mawili.
Nilitakiwa niwe E ila tokea yeye aingie bado nipo palepale TGS C.
Yaani alinidanganya kunipa TGS C2 ili anipoze.
Mungu HAPENDI UZULISHI.

2. Mwambie anipe increament zangu za kila mwaka ambazo zipo kisheria.
Namdai haki yangu ambavyo ipo KISHERIA ya NYONGEZA YA MIAKA MITANO.
mwambie "No one is above the law"

3. Mwambie anilipe arraers zangu.

Kama kanidhulumu pesa ngoja mimi mimdhulumu muda.

JINO KWA JINO.

#YNWA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom