Unajua bwana...!
Kila jambo lina muda wake na kila jambo lina wakati wake. Unaweza ukajiuliza wakati ni nini na muda ni nini, natumai unaweza ukajijibu mwenyewe, ila kama utashindwa kujijibu itabidi ujiulize mara mbili kuweza kupata JIBU sahihi, unaweza ukapata JIBU lakini lisiwe JIBU sahihi...