watu wazima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

  2. S

    JamiiForums Tanzania Katuni za Watu wazima zinapatikana Tanzania tu,

    Yaani kama umeshavuka miaka 25 basi kuangalia Tom & Jerry inakuwa ni vioja na kuonekana mtu wa ajabu sana,bado hujakua.Ila kama unataka kufurahi kama enzi zile basi angalia viongozi wa Tanzania wanapozungumza ,wawe wa serikali au wa vyama vya siasa,hata huko kweny vyuo au hata wale maprofesa...
  3. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Nini hiki kinaendelea kwa watoto na watu wazima?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuumwa hasa wanapata homa kali, kifua namafua. Kwa utafiti wangu nimeona watoto wa jirani na rafiki zangu watoto wao kama 20 hivi wakiwa wanapata shida hiyo. Majuma mawili yaliyopita watoto wangu wote wawili (Twins) wakawa wanapata homa...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Rundo la wanawake watu wazima wananitaka

    Habarini za usiku wasomaji Mimi ni kijana mdogo tuu ambaye mara nyingi hujishughulisha na kilimo na ufugaji. Sasa mwaka huu baada ya kuvuna alizeti na vimahindi vyangu nikaona isiwe tabu ngoja nifungue kabiashara ka kupumzikia tu kiangazi hiki. Nikatafta fremu nikafungua biashara na hapo...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mama anataka watu wazima wasio na watoto wakataliwe kuingia Disney Land

    Mama huyu ametoa malalamiko yake kuwa watu wazima wanasababish foleni kuwa ndefu. Waruhusiwe tu wenye watoto na wazazi au walezi wao. Ameendelea kusema watoto wanaposikia njaa foleni za kununua chakula ni ndefu na wengi wao ni watu wazima wasio na watoto. Kuna mtoto wa miaka mitatu alikua...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi vijana wana-date na wamama watu wazima

    Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka. 1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga mama yake na yule dogo. 2. Kuna mama huyu muimba kwaya kanisani huyu ndio oya oya, vijana wengi wa...
Back
Top Bottom