watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana SATIVA anayesemekana alitekwa na watu wasiojulikana kitendawili chake kinateguliwa na filamu ya IRIS?

    Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi, Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS), Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
  2. “Utekaji” waitesa Kenya. Wananchi wanatekwa na kupotezwa. Saba watekwa ndani ya siku 7

    https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations. Officials...
  3. Timu ya Biashara United imeshambuliwa vibaya sana. Viongozi wao wawili hawajulikani walipo

    Biashara United Mara wamefika mkoani Tabora na kupokelewa kwa kipigo asubuhi hii wakati wanaenda kwenye pre match Meeting. Technical director Omary Madenge ameshambuliwa sana yupo kwenye hali mbaya lakini pia amenyang’anywa baadhi vitu alivyokuwa navyo. Pamoja na hayo viongozi wawili wa...
  4. PreGE2025 Ushauri kwa Tundu Lissu: Omba ulinzi kabla ya kuendelea na michakato

    Habari yako mhe. Tundu Lisu? Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema. Leo nimeamua kukuandikia wewe mwenyewe direct humu kwa lengo la kukufungua macho na akili yako...
  5. PreGE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa...
  6. PreGE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  7. J

    PreGE2025 Mbowe aelezea alivyonusurika kuuwawa June 2013 Soweto Arusha

    Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4 Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga kuripua Fuso kwa Bomu ifikapo Saa 12 wakati wa kufunga Mkutano na Wangewaua Viongozi Wote wa Chadema Taifa...
  8. M

    Miaka 16 imepita haijajulikana nani alimmwagia tindikali Saed Kubenea

    Wapelelezi wapo na wanakula kodi za Watanganyika. Zijui kuhusu za Wazanzibari. Mpaka haijulikani nani alifanya jinai hii ya kumwagia mtu acid usoni. Mbona majambazi wanayakamata kila siku? Miaka 16?
  9. Moshi: Mgambo maarufu 'Farjala Abdallah' auawa na watu wasiojulikana

    Mgambo maarufu katika kata ya Bomambuzi Manipaa ya Moshi aliyekuwa pia dereva bajaji, Farjala Abdallah ameuawa na watu wasiojulikana, huku Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro likiahidi kuwasaka kwa udi na uvumba waliofanya mauaji hayo. Mwili wa marehemu ulipatikana leo alfajiri ya Februari...
  10. Ndugu wa wafanyabiashara waliopotea waiangukia Polisi

    Ndugu wa wafanyabiashara wawili wa mbao waliopotea mwaka jana, wameliangukia Jeshi la Polisi nchini, wakitaka liwasaidie kuwatafuta ndugu zao. Familia hiyo imesema kuwa imewatafuta ndugu zao hao bila mafanikio, hivyo inaliomba jeshi hilo kuwasaidia kufanya hivyo. Wafanyabiashara hao wa mbao...
  11. Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

    Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda, mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao, kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa. Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza. PIA, SOMA: - Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi...
  12. Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena! ==== Pia soma ~ Matukio...
  13. Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  14. Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

    LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai. Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la...
  15. Asante BAVICHA Mkoa wa Tanga kwa Kuwamaliza Watu Wasiojulikana

    Salaam Wakuu, Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir. Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
  16. Mwanasheria: Hakukuwa na hati ya kukamatwa kwa Dkt. Fred Matiang’i

    ======== Lawyer Danstan Omari was the lawyer who spoke to members of the forth estate alongside Raila Odinga at the Karen home of former Interior CS Dr. Fred Matiang’i following the raiding of his house by an elite police squad. While insisting the squad had no reason whatsoever to prove their...
  17. Watu wasiojulikana

    Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana? Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama: ~ Mauaji ya Kibiti. ~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni. Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana. Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili? Mada...
  18. Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana

    Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7 Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye...
  19. Heka heka za watu wasiojulikana kwenye awamu ya sita

    Wasalaam wana JF. Wakati tukitafakari mchango wa wananchi wenzetu wanoko waliosanifu na kutoa wazo shule la uanzishwaji wa tozo, tusisahau heka heka za watu wasiojulikana. Katika awamu ya tano watu wasiojulikana walikua busy na mishe mishe anuai waki fanya hili na lile. Cha ajabu, katika awamu...
  20. Watu wasiojulikana waiba vikombe nyumba ya Watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…