watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuanza kujulikana kwa watekaji na wauaji. Je, taifa limeanza kupumua na haya majanga?

    Utekwaji wa kukumbukwa zaidi ni wa Dr. Steven Ulimboka aliyeongoza mgomo wa madaktari enzi za Kikwete.... Alitekwa kisayansi kwa kujipeleka mwenyewe mdomoni mwa mwamba. Wakamchukua wakampeleka huko kwao wakamtesa vilivyo kisha wakaenda kumtupa Mabwepande Mapori ya Mwabwepande ndio yalikuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watekaji wadhibitiwe kabla ya kuhamia kwa wenye fedha/matajiri na RAIA wa kigeni!

    Wanaoteka wana shida na pesa kwa sababu hata wao wanamahitaji. Ninachokiona sasa ni kuwepo uwezekano wa wahuni wachache kuanza kukamata wafanyabiashara na RAIA wa kigeni kisha kuwalazimisha wawape fedha. Mifumo ya uhalifu duniani imejengwa kwenye uporaji wa mali na fedha. Mtu ambaye anaweza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, Vyombo vya Dola vimezidiwa na "Genge la Watekaji"?

    Maaskofu wameuliza swali; Je, watekaji wamevizidi nguvu vyombo vya Dola? Kwanza tuangalie watekaji wanamiliki nini? 1. Magari ya kifahari, LAND CRUISER, NISSAN n.k., na plate no. za TANZANIA ambazo wanaweza kuvuka hata mpakani mwa nchi na nchi bila shida. 2. Silaha nzito za kivita wanazoweza...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Tumesikitishwa na kifo cha Ali Kibao. Rais aunde Tume ya Majaji kuchunguza wimbi la utekaji na mauaji

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amewapa pole familia ya ndugu...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

    Wakuu habari, Sio wote JF wenda wanaguswa na yanayoendelea ndani ya nchi hii (zingatia wapo machawa wa ccm) Taifa sasa linajaa laana za watu kutwekwa, kuuawa (machozi ya damu). Nani yupo nyuma ya upumbavu huu? Nani anaratibu kwa faida ya nani? Kama ni kwa faida ya Taifa nakataa, kama ni kwa...
  7. mfate42

    JamiiForums Tanzania Maadui zetu watatumia mwanya huu wa wimbi la utekaji na mauaji kutuangamiza

    Ndugu zangu tuwe makini Sana na wale tuliotofautiana kwenye biashara, mahusiano na mambo mengine ya kugombea madaraka maana watu hao watatumia upepo huo kutuangamiza na wakijua lazima watu wataona ni mambo ya kisiasa tu hivyo uchunguzi haotowakamata. Mungu ameniagiza niandike haya. Take care...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu wa Upinzani

    Kifo cha Viongozi wa Upinzani Tanzania: Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu TUJIANGALIE TUPO PABAYA SANA LEO KULIKO JANA SONGA NAYO. Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na matukio kadhaa ya kutekwa na kuuawa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, hususan CHADEMA...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

    Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake Hakuna Taifa Bila Watu Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika Soma Pia: Ally Hapi...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waganga wakataa kuhusishwa na matukio ya mauaji ya watu yanayotokea karibuni nchini

    Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktari wa Hospitalini wanavyothaminiwa kwani dawa zote za hospitali zilitokana na dawa za asili...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

    Wakuu kwema, Watu wasiyojulikana siyo maneno mageni kwetu, na mambo haya yameanza kitambo kuanzia enzi za Kikwete na Ulimboka (kusoma tukio hilo zaidi hasa kwa Gen Z soma hapa - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana aliyetekwa na watu wasiyojulikana...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

    ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB) Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

    Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka kusikojulikana, kuwatesa na baadae kuwaua na kutupa miili yao porini au nyikani. Kama ndiyo hivi, maana...
  14. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

    Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

    Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu! Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini! Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
  16. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipobariki mchezo wa Kuteka na kupoteza wakosoaji, Wahuni nao wakaona hii ndiyo nafasi

    Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume. Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Msiojulikana mtajulikana tu, ni suala la muda

    Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu. Damu ya mtu sio maji ya kunywa, juice, soda ama pombe. === Mwanajeshi mmoja nchini Gambia, Luteni Malick Jatta amekiri kuua watu 50 mwaka 2005 kwa agizo la aliyekuwa Rais wa nchi...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limetoa taarifa tukio la kijana Samwaja aliye uwawa na kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa, likiwemo tukio la kijana Samwaja Sifael Said, Mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu mkoani Singida kuuawa kisha kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake. Tukio la...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini serikali inateka wakosoaji wake, na wale wakosoaji wasiotekwa huitwa watu wa vitengo

    Kwema Wakuu! Nazungumza Kwa uzoefu wàngu binafsi. Úkiwa mkosoaji wa viongozi wa serikali au serikali Kwa ujumla Bila kujali Nia yako kuwa ni Njema au mbaya, Bila kujali upo Chama gàni au hauna Chama. Watu kuanzia Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wàtakuambia Bila kificho kuwa unajiingiza...
Back
Top Bottom