watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa China watembelea makumbusho katika mapumziko ya majira ya joto

    Julai 20, wanafunzi na wazazi wao walikuwa wanatazama maonyesho kwenye Jumba la Makumbusho la mji wa Yuncheng mkoani Shanxi, China. Wakati mapumziko ya majira ya joto yanakuja, Jumba la makumbusho la Yuncheng linawakaribisha wanafunzi na wazazi kulitembelea. Katika majira ya joto, majumba ya...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto 5 wa familia moja wadaiwa kufariki kwa ugonjwa wa tumbo Arusha

    Watoto watano wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mswakini wilayani Monduli, Mkoa Arusha nchini Tanzania wamefariki dunia kwa ugonjwa ambao bado haujatambulika baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo na matumbo kujaa. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Julai 19,2022, Dwani wa Mswakini...
  3. JamiiForums Tanzania Mnapotengana mnawapa mzigo mzito watoto sio tu wakiwa wadogo bali hata wakiwa watu wazima

    Kwema Wakuu! Huenda ukawa unajiuliza ni Kwa nini Taikon anapenda kujadili masuala ya familia, ndoa, na wanawake. Kwa kifupi tuu ni kuwa Msingi Mkuu wa Jamii ni Familia Bora, familia Bora ni matokeo ya ndoa iliyofuata misingi ya uadilifu. Familia Bora huleta jamii Bora, jamii Bora huzaa taifa...
  4. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto Milioni 25 wamekosa chanjo za kawaida kwa sababu ya COVID

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa zaidi ya watoto Milioi 25 wamekosa kupata chanjo mbalimbali za magonjwa tofauti kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa UVIKO-19. Ripoti ya WHO na UNICEF imeonesha baadhi ya magonjwa yaliyokosa chanjo tangu mlipuko utokee...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kulea watoto wa kizazi cha sasa

    Wakuu nimerudi Tena katika Story of change, Naomba Leo niwashirikishe mbinu nzuri za kuwalea watoto katika kipindi hiki Cha utandawazi! Kwanza nikiri wazi Mimi ni mzazi na mwalimu pia, kwahiyo haya ninayoshauri ni mambo ambayo Binafsi nimeyaona yakifanya kazi kwa ufanisi mkubwa! Kabla sijatoa...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti: COVID-19 yaathiri utoaji chanjo muhimu kwa watoto

    Takriban Watoto Milioni 25 duniani walishindwa kupatiwa kwa wakati Chanjo muhimu zinazowalinda dhidi ya Magonjwa mbalimbali mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la Watoto Milioni 2 ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2020 Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  7. JamiiForums Tanzania Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watoto wanaokula magodoro

    Arusha. “Ninaomba kama kuna mtu anajua dawa ya hawa watoto kuacha kula magodoro anisaidie, maana hadi mimi mwenyewe naogopa, natamani hata kukimbia hii nyumba,” Hiyo ni kauli ya Joyce Mrema (45), mama wa watoto pacha wa kike, mkazi wa Mtaa wa Kanisani uliopo Kata ya Sokoni One jijini Arusha...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto 7 wafariki kwa mlipuko Nchini Togo

    Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika taarifa, jeshi la Togo lilisema mlipuko ambao chanzo chake hakijajulikana ulisababisha vifo vya watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

    Kwema Wakuu! Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu! Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri. Hakuna chuki. Mkigombana hamuwezi kukaa masaa mawili mnajikuta mmesahau kuwa mligombana, mnaendelea kupiga Stori na...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto 13 wafariki kwa njaa Ethiopia

    Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo Afisa huyo amesema kuwa idadi ya Watoto wenye utapiamlo katika Wilaya hiyo inaongezeka, ambapo zaidi ya 240 kati yao wamelazwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa watoto kuliwa na fisi wilayani Karatu, nailaumu idara ya wanyamapori

    Ninaandika hili kwa uchungu mwingi sana. Kumekuwa na matukio mengi hapa nchini ya watu kujeruhiwa au kuliwa kabisa na fisi. Na mara nyingi wahanga huwa ni watoto hasa wale wenye umri mdogo. Hili jambo linalotia uchungu mwingi mno. Mkoani Shinyanga ndo kumekuwa na matukio mengi ya fisi kuleta...
  13. JamiiForums Tanzania Mkitaka kuzaa watoto smart tumieno njia hii. Mtakuja nishukuru baadaye

    Inawezekana kabisa siku hizi kuna watu wengi hawana uelewa mzuri kwa sababu ya aina styles zilizotumika wakati wazazi wao walipokuwa wanafanya mapenzi. Watoto wa siku hizi wengi hawana akili vizuri. Chukulia ile style ya "Kalunguyeye" ... Mtoto atazaliwa anaakili za namna gani? Au mkwezi...
  14. JamiiForums Tanzania Madhara ya talaka

    Habari zenu, Leo napenda kuongelea madhara ya talaka watu wengi sikuizi ndoa wanachukulia Kama ni maisha ya mpito na wengi wao wanajifikilia wao ukweli ni kwamba watu wengi wanakosea Sana wanapo dai talaka bila kujali watoto ambao Wana wategemea na hao wanaiga mfumo wa maisha ambayo niny mliya...
  15. JamiiForums Tanzania Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

    Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa. Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi. Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?
  16. JamiiForums Tanzania Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  17. JamiiForums Tanzania Mke wako na kama umebahatika kupata watoto hao ndio ndugu wa kweli, hawa michepuko hawatakusaidia ukipata matatizo

    Siku ukipata matatizo utakuja kufungua huu uzi na kukumbuka haya niliyoandika leo.. Mke, watoto na ndugu wa kuzaliwa ndio ndugu zako, maana hawa wanawake tunaowaita michepeko wapo na wewe muda huu kwa kuwa una hela. Niwe muwazi kwa hili ukiwa na pesa “You can *** any woman around you” maana...
  18. JamiiForums Tanzania Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza kuwa upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana umefanyika kwa mafanikio. Watoto hao Rehema na Neema walikuwa wameungana kifuani na upasuaji huo umefanyika leo Julai Mosi, 2022 chini ya Wataalam wa Afya 31. Awali, Mtaalam wa Magonjwa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili, leo Julai 1, 2022

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo inatarajia kuwafanyia upasuaji wa kuwatenganisha pacha walioungana kifuani. Upasuaji huo unakadiriwa kutumia saa saba na utafanywa na wataalamu wa afya 31 kutoka Tanzania na Ireland ambao wanatokea Shirika la Operation Child Life. Tanzania itakuwa nchi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

    Habari ndugu zangu Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo. Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…