https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto.
Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...