watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na matokeo ya kura za NEC juzi. Kuna la kujifunza kama akina Makamba

    Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara mbili. Vita itahamishiwa kwa Inno. Bashe anaweza asiwe salama. Mmemuona Kasesela?
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha nimezalisha wanawake watatu sasa nina watoto 15

    Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia. Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama yangu. Tufyatue tu jamani.
  3. JamiiForums Tanzania Ufaransa kugawa Kondomu bure kwa Watoto na Vijana

    Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto. Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima kwenye Maduka yote ya Dawa kuanzia Januari 1, 2023 na ikumbukwe pia Ufaransa ni moja ya nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo na bado unasema unanipenda!?

    Kila siku narudi nane Usiku nimelewa na nalala na viatu watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo najua umefunzwa unyagoni kutunza Mume lakini sio Kama Mimi ,unafaa upate mume na uolewe na sio kuniganda Mimi ukikaa utajua tu utakapokuwa na Akili utajua ni namna gani nakugiribu.
  5. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Anaandika, Robert Heriel Wazazi msiwape watoto wenu mzigo wa kununua upendo wenu kwa kuhangaika ili kuwapa pesa na mali. Upendo haununuliwi. Tabia ya kudai malipo kisa mliwasomesha au kuwazaa na kuwatunza huo ni uhuni. Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni miongoni mwa sasababu chache ambazo mume hubambikwa watoto na mke wake

    Hii tabia ya kubambikiana watoto haijaanza Leo! Tangu enzi za mabibi na mababu tabia hii ilikuwepo! Kipindi hiko wamama walitumia njia hiyo kama mbinu ya kubakiza mbegu duniani ili kukwepa magonjwa ya kurithi! Magonjwa kama ya siko cell, kifafa, LAANA ZA KURITHI n.k Viliwasumbua kizazi cha...
  7. JamiiForums Tanzania TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

    Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

    Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana

    Hivi wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wa kike bila kumuomba mbususu jamani Maana watoto wengi wa kike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu haya atakayekuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani? Mfano wasanii wa kike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alichokifanya kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi somesheni Diploma watoto wenu

    Wazazi somesheni watoto wenu elimu ya Diploma. Nikipita kwenye AJIRA PORTAL ya serikali wanatangaza sana nafasi za Diploma. Hii naiona kama nzuri kwa serikali kwa sbb ndio wanaopiga kazi sana kuliko wavaa suti na tai wa diploma. Serikali ikaze hapo hapo safi sana. Kuajiri wengi wa degree ambao...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

    Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta? The entire leadership of Temeke and...
  13. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na mnaowaachia kulea watoto wenu

    Habari wana jukwaa, Hii video inaeleza jinsi houseboy alivyomfanyia mtoto wa bosi wake, kwa kweli inatia kinyaa. Ningekuwa mimi ndiyo mzazi wa huyo mtoto haki ningeua mtu. "Mtoto mdogo alikuwa akimpenda sana houseboy na familia ilikuwa haielewi ni kwanini, baada ya muda mtoto akaanza kukataa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ikungi: Zaidi ya watoto 97,000 kufikiwa na chanjo ya polio

    Mkuu wa wilaya ya ikungi Mhe. Jerry C. Muro amezindua zoezi la chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa hatari wa kupooza (POLIO) linalolenga kutoa chanjo kwa watoto 97, 575 katika wilaya ya Ikungi Mhe. Muro amesema hayo wakati akizindua zoezi la chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa hatari wa polio...
  15. JamiiForums Tanzania Upendeleo wa kijinsia kwenye makuzi ya watoto unachangia tabia ya wanawake kufanyiwa ukatili

    Katika maisha yetu ya kawaida hasa sisi watu wa kipato cha chini, nasema hivyo kwa kuwa nimetokea kwene mazingira hayo, japokuwa najua hawa wale wa hadhi ya juu nao wanaweza kuwa wanahusika. Kibongobongo maisha kwenye familia nyingi wazazi wengi na wale wamekuwa na tabia ya kutengeneza...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kanye West kumlipa Kim Kardashian Tsh. Milioni 466.6 kila mwezi kwa matunzo ya watoto

    Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao. Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kesi nyingi za Ukatili wa Wanawake na Watoto haziripotiwi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ameviagiza Vyombo vya Dola viongeze nguvu kupambana na kudhibiti Ukatili dhidi ya Wanawake, Watoto wa Kike na wa Kiume. Mpango ametaja idadi ya matukio ya unyanyasaji dhidi ya Wanawake yaliyoripotiwa kwa mwaka 2021 yalikuwa 20,897 na mwaka 2020 yalikuwa 28,126...
  19. JamiiForums Tanzania Lindi: Watoto wa miaka 8 wachomwa sindano za kuzuia mimba

    Baadhi ya wazazi wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wamedaiwa kuwalazimisha watoto wao wa kike kuchomwa sindano za kuzuia kupata ujauzito kitendo kinachowaweka hatarini kukumbwa na tatizo la utasa hapo baadaye. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma wakati wa mdahalo wa kujadili...
  20. JamiiForums Tanzania Geita: Serikali yashauri wazazi kutowanunulia simu watoto waliopo shuleni

    Serikali ya Mkoa wa Geita imewataka wazazi mkoani humo kuacha kuwanunulia simu, Watoto wao ambao bado wapo mashuleni ili kuwaepusha na mmomonyoko wa madili unaotokana na mitandao ya kijamii. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Geita, Tito Mlelwa amesema “Jamii hasa wazazi wanatakiwa kubeba mzigo huo kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…