Kanye West kumlipa Kim Kardashian Tsh. Milioni 466.6 kila mwezi kwa matunzo ya watoto

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
Kim Kardashian na Ye (zamani akijulikana kama Kanye West) wamefikia suluhu kuhusu talaka yao.

Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, Kardashian atapokea $200,000 zaidi ya Tsh. Milioni 460 kwa mwezi kama gharama za matunzo ya watoto na pia watashiriki malezi ya pamoja ya watoto wao wanne -- North, Saint, Chicago na Psalms

===============

The judge declared the two legally single at Kardashian's request in March, ending their eight-year marriage, but issues of property and custody remained that were to be worked out in a trial starting Dec 14.

The two have four children whose ages range from 3 to 9 years old.

Kardashian and Ye will equally split the expenses for the children's private security and private school, including college, according to the settlement proposal.

They will also each pay their own debts, the settlement said. The two had a pre-nuptial agreement and kept their property largely separate.

The couple began dating in 2012 and had their first child in 2013. West proposed later that year using the giant screen at the empty waterfront ballpark of the San Francisco Giants, and the two married on May 24, 2014, in a ceremony at a Renaissance fortress in Florence, Italy.

The two appeared to be headed for a cordial split with agreed-upon terms when Kardashian first filed for divorce in February of 2021.

Neither discussed the split publicly until early this year, when Ye started lashing out on social media against Kardashian, her family, and then-boyfriend Pete Davidson.

Among his complaints were that he was not being allowed to make major parenting decisions and has been excluded from birthday parties and other events for their children.

Ye, who has fired two lawyers since the divorce filing, also raised several technical issues and demands, including seeking the right to question any new husband of Kardashian's under oath, which Judge Steve Cochran promptly rejected.

The settlement comes soon after several companies have cut ties with Ye over offensive and anti-Semitic remarks that have further eroded an already withering public image.

His latest lawyer, Nicholas Salick, did not immediately reply to a request for comment on the settlement.

It was the third marriage for Kardashian and the first for Ye.

TELEGRAPH
 
Dem ana kama 1.7b,Kanye naona sasa hivi ana 800+m ,Kanye anatakiwa kutoa 200k kwa ajili ya matumizi ya watoto kila mwezi.

Hapo bado matumizi mengine,kudadadeki kesho unawaona barabarani wanadai 50/50.Ila si shangai always mwanaume yake ni mateso tutalipwa na Mungu, tunagumia na maumivu yetu kimya kimya.

Sometimes unajiuliza hela wanazo tafutaga wana zifanyiaga nini?
 
Nimeona Kanye ana $400Million, imekuaje ameshuka hvyo mwamba?
 
Nimeona Kanye ana $400Million, imekuaje ameshuka hvyo mwamba?
Mimi niliona kuna sehemu walisema 800m mda huu simulizi na sauti wanasema jamaa ana 400m,ila yote kwa yote ya makampuni aliyokiwa akifanya nayo kazi ndio yali sababisha mkwanja upungue.
 
Mimi niliona kuna sehemu walisema 800m mda huu simulizi na sauti wanasema jamaa ana 400m,ila yote kwa yote ya makampuni aliyokiwa akifanya nayo kazi ndio yali sababisha mkwanja upungue.
Kweli unawaamini simulizi na sauti?
 
Ni pesa ndogo, na Kanye atailipa kwa miaka 15 tu maana hapo watoto wote watakuwa over 18
 
Kweli unawaamini simulizi na sauti?
Kuwaamini na waamini, kukosea wanaweza kukosea sababu nao ni binadam na ndio maana baada ya hapo nikajilillzisha. Hata BBC na Aljazeera huwaga wanakosea.

Kwa Tz hii Online Media ninazo zikubali ni mbili tu Millard Ayo na SnS, kidogo Sam Misago na Dizzim.
 
Nimeona Kanye ana $400Million, imekuaje ameshuka hvyo mwamba?
Sehemu kubwa ya utajiri wao huwa unakuwa wa "kwenye karatasi". Mfano Ye utajiri wake sehemu kubwa ilikuwa ni hisa zake kwenye brand ya Yeezy na collaborations nyingine za fashion kama GAP, Balenciaga na kadhalika. Baada ya kampuni hizo kumtema ina maana hana tena hisa ndio maana "utajiri" umeporomoka.
 
Back
Top Bottom