watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Hawa madogo wa Simba wametegwa tena, wanategeka

    Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki. Kocha Mgunda pamoja na kukerwa na namna walivyocheza, leo wamekichezesha kikosi kilekile isipokuwa Kibu tu. Watoto ni watoto tu...
  2. Peru: Watoto zaidi ya 700 wapewa jina la Mfalme wa Soka "Pele"

    Ulimwengu wa kandanda ulimpoteza "King" Pelé mnamo 2022, lakini jina la mchezaji huyu mashuhuri bado litaendelea kuishi, haswa kupitia watoto 738 nchini Peru waliozaliwa mwaka jana. Kwa mujibu wa orodha iliyochapishwa na Msajili wa Kitaifa wa Uraia wa Peru mwishoni mwa 2022, jumla ya watoto 738...
  3. Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

    Hello, Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia. Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
  4. D

    Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  5. Jukwaa la Wahariri lawapa Tuzo Waandishi wa Habari za Watoto na walioripoti UVIKO-19

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni. Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
  6. Watoto 18 wafariki baada ya kunywa dawa yenye sumu

    Takriban watoto 18 wamefariki dunia nchini Uzbekistan baada ya kunywa dawa iliyotengenezwa na mtengenezaji wa dawa wa India Marion Biotech, kulingana na Wizara ya Afya ya Uzbekistan. Wizara hiyo imesema watoto 18 kati ya 21 waliokuwa na ugonjwa wa kupumua waliotumia syrup ya Doc-1 Max papo hapo...
  7. Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
  8. Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

    Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani? Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha. Kwangu mimi sina haja hata...
  9. Namna ya kunasa Vitoto vya kishua msimu huu wa Sikukuu

    NAMNA YA KUNASA VITOTO VYA KISHUA MSIMU HUU WA SIKUKUU Anaandika, Robert Heriel Kheri ya Christmas Wakuu! Tuachane na mambo Serious kidogo, muda wa kupoza Injini ndio huu. Wale wazee wenzangu wa pisikali zamoto tujadili kidogo hapa namna ya kuopoa vile vitoto vyakishua. Tabia Mbaya! Tabia...
  10. Wazazi wapumzisheni watoto wenu. Ngoma hii ni ngumu, wapeni moyo

    WAZAZI WAPUMZISHENI WATOTO WENU; NGOMA BADO NGUMU. WAPENI MOYO. Anaandika, Robert Heriel Inawezekana wewe ni miongoni mwa Vijana mnaopitia kipindi kigumu Kutokana na shinikizo la wazazi wakikutaka Uajiriwe. Licha ya kuwaambia upatikanaji wa kazi umekuwa ni mgumu lakini bado wazazi wamekuwa...
  11. Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

    "Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia. Tunachojua...
  12. Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto. Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
  13. Wanaume wenzangu huu sio mwezi wa kuhonga ni mwezi wa kujiandaa na ada za watoto

    Naihusia nafsi yangu na ya wanaume wenzangu mwezi huu na January sio ya kuhonga kwà vimada na madanga yasiyo na shukrani ni mwezi wa kuandaa ada ya watoto. Kwà mlio wabishi mtakuja kunikumbuka!! Nimekaa pale kama umbwa!
  14. Vituo vingi vya kulelea watoto yatima vimekuwa ni sehemu ya upigaji

    Habari ndugu wana jamii forums wenzangu, Siku ya leo naomba niwasilishe hili tatizo ambalo nimeliona, nimekuwa ni mtu wa kujitolea kwa kile kidogo Mungu anachonibariki sehemu mbalimbali na kwa watu mbali mbali wenye uhitaji hapa nchini. Changamoto niliyoikuta au kuiona misaada inayotolewa...
  15. Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
  16. India yasema dawa zilizoua watoto Gambia hazina madhara yoyote

    Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama. Dawa hizo zililalamikiwa na Serikali ya Gambia baada kuwepo ongezeko la Watoto wenye chini ya miaka 5...
  17. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atoa siku 7, watoto 24,000 waandikishwe shule

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahaya Nawanda, ametoa siku saba kwa uongozi wa Wilaya ya Maswa mkoani humo, kuhakikisha unakamilisha kuandikisha watoto 24,000 wanaotarajiwa kuanza masomo ya darasa la kwanza na awali wilayani humo. Aidha, Dk. Nawanda amemuagiza Mkuu wa Polisi pamoja na Mkuu wa...
  18. Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  19. Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
  20. R

    Watoto wa vigogo na matokeo ya kura za NEC juzi. Kuna la kujifunza kama akina Makamba

    Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara mbili. Vita itahamishiwa kwa Inno. Bashe anaweza asiwe salama. Mmemuona Kasesela?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…