Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,181
Imenichukua siku mbili tatu kumsoma kijana wetu.
Utulivu:
Mtoto mchanga hana mudacwa vurugu na mtu. Kwanza ukimgusa mkono wake atashituka na kukuacha ulivyo. Hapendi kuguswa guswa na mjue hata mama yake hapendi ila ni nyonyo tu. Mtoto hataki kuguswa na anaweza kukumbuka akiwa kwa womb hatakiwi kuguswa na kitu. Hawa watoto wana utaratibu mgumu sana.
Ukitaka story hizi njoo DM nikuunge na group langu.
Hahahahaha kijana wetu wa Buguruni na hatma yake wamelala mbele.
Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app